Msafara wa Waangalizi wa Umoja wa Mataifa UN waliopo nchini Syria umeshambuliwa na kusababisha uharibifu wa magari matatu wakati waaangalizi hao wakihudhuria mazishi ya watu ishirini wanaotajwa kuuawa na Utawala wa Rais Bashar Al Assad.
Timu ya Manchester City imemuomba radhi Kocha wa Manchester United ,Alex Ferguson baada ya mchezaji wa Man Cuty, Carlos Tevez kuonesha ishara ya kumkejeli Ferguson wakati wa Shamrashamra za baada ...
Timu ya soka ya wanawake ya nchini Tanzania imeangukia pua jana mara baada ya kukubali kichapo cha 4-1 toka kwa kina dada wa Zimbabwe katika mchezo wa kimataifa uliofanyika kwenye uwanja wa taifa ...
Msimu wa ligi kuu ya Uingereza kwa mchezo wa soka msimu wa mwaka 2011/2012 unamalizika leo,huku macho yakiangazia mchuano kati ya Manchecter City na Manchecster United ambao wote wanawania taji ...
Wachezaji Tennesi maarufu duniani Rafael Nadal na Novak Djokovic wametishia kujitoa kushiriki kweny mashindano ya mwakani ya Madrid Master kwa kile walichodai uwanja kutokuwa na kiwango.
Pambano la ngumi la uzito wa Light-welterweight kati ya mabondia Amir Khan na mpinzani wake Lamont Peterson limeahirishwa baada ya Peterson kubainika kutumia dawa zisizofaa mchezoni.