Afrika

Syndicate contentAFRIKA
Mke wa rais wa Ufaransa  Valerie Trierwiler akiwa ziarani nchini Mali
18/05/2013 - MALI

Mali yahitaji msaada zaidi wa kibinadamu

Mke wa rais wa Ufaransa bi Valerie Trierweiler amesema kuwa ameguswa sana na hali ya mambo nchini Mali baada ya kukamilisha ziara yake ya saa 48 katika taifa hilo lenye vita na koloni la kale la ...

Waandamanji nchini Misri
17/05/2013 - MISRI

Mamia waandamana Misri kupinga utawala wa Morsi

Mamia ya watu wameandamana katika bustani ya Tahrir jijini Cairo Misri leo Ijumaa wakimtaka rais wa nchi hiyo Mohamed Morsi kujiuzulu na kudai ufanyike uchaguzi wa mapema vyombo vya habari nchini ...

Waziri wa mambo ya nje wa Sudani Ali Ahmed Karti
17/05/2013 - Sudani

Waziri wa mambo ya nje wa Sudani azuru Juba

Waziri wa mambo ya nje wa Sudan Ali Ahmed Karti anazuru Sudan Kusini Ijumaa hii, miongoni mwa malengo ya ziara hiyo ni kuwasilisha barua ya Rais Omar Hassan al-Bashir kwa rais wa Sudan Kusini ...

Wanajeshi wa Afrika Kusini wakijifua
17/05/2013 - Afrika Kusini-DRC

Wanajeshi wa Afrika Kusini wajifua kabla ya kuelekea Mashariki mwa DRC

Wanajeshi wa Afrika Kusini wanaojiandaa kuungana na kikosi cha Umoja wa Mataifa UN Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC wameendelea na mafunzo kwa ajili ya jukumu hilo wakati huu ...

Eneo lililojitangazia uhuru la Jubaland
16/05/2013 - SOMALIA

Mbabe wa kivita ajitangaza rais wa eneo lililojitangazia uhuru wake la Jubaland nchini Somalia

Mbabe wa kivita katika eneo la Jubaland Kusini mwa Somalia amejitangaza kuwa rais wa eneo hilo ambalo lilitangaza kujitenga, viongozi wa jadi wamesema muda mfupi baada ya kuchaguliwa kwa kamanda ...

Kituo cha polisi cha mjini Benghaz kikiteketea kwa moto
15/05/2013 - LIBYA

Kituo cha polisi mjini Benghazi chavamiwa na kuchomwa moto

Watu wenye silaha wamevamia na kuchoma moto kituo cha polisi katika mji wa Mashariki mwa Benghazi nchini Libya leo Jumatano wakilipiza kisasi dhidi ya kifo cha mwenzao katika tukio la usiku wa ...

Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan
15/05/2013 - NIGERIA

Rais wa Nigeria atangaza hali ya hatari katika majimbo matatu nchini humo

Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan amelazimika kutangaza hali ya hatari katika majimbo matatu nchini humo kutokana na kuendelea kutekelezwa kwa mauaji yanayoendeshwa na kundi la Boko Haram.

Rais wa Serikali ya Mpito ya Mali, Dioncounda Traore
15/05/2013 - MALI

Rais wa mpito wa Mali asema uchaguzi lazima ufanyike licha ya changamoto zilizopo

Rais wa Mali Dioncunda Traore ameahidi uchaguzi mkuu utafanyika kama ulivyopangwa mwezi Julai licha ya uwepo wa vikwazo kadhaa vinavyowakabili kauli inayokuja huku mataifa wahisani yakikutana ...

Walinda amani wa umoja wa matifa nchini Sudani Kusini (UNMISS)
14/05/2013 - Sudani

Walinda amani wa umoja wa mataifa waonya kuhusu hali mbaya ya usalama katika jimbo la Jonglei Sudani Kusini

Walinda amani wa Umoja wa Mataifa wameonya kwamba ghasia na uporaji katika mji wa Pibor kwenye jimbo lenye mgogoro la Jonglei huko Sudan Kusini zimeendelea kuwa mbaya huku kukiwa na mapigano ya ...

Rais wa Madagascar Andry Rajoelina.
14/05/2013 - MADAGASCAR

Rais wa Madagascar agoma kujiondoa katika kinyang'anyiro cha urais

Rais wa visiwa vya Madagascar Andry Rajoelina amekataa wito wa Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za Kusini mwa Afrika SADC uliomtaka kutowania tena Urais wa nchi hiyo katika uchaguzi mkuu ujao wa mwezi ...

Close