Pata taarifa kuu
BURUNDI-Siasa

Burundi yaadhimisha miaka 52 ya uhuru

Burundi leo inaadhimisha miaka 52 ya uhuru wake, akilihutubia taifa hapo jana rais Pierre Nkurunziza ameeleza kuridhishwa na kuona sikukuu hii inafanyika huku mswada wa sheria kuhusu tume ya ukweli na maridhiano CVR ikiwa imekwisha sainiwa na kuahidi kwamba mnamo mwezi julai watakaounda tume hiyo watakuwa tayari wamekwisha fahamika.

Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza, aahidi kwamba mnamo mwezi julai watakaounda tumeya ukweli na maridhiano watakuwa tayari wamekwisha fahamika.
Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza, aahidi kwamba mnamo mwezi julai watakaounda tumeya ukweli na maridhiano watakuwa tayari wamekwisha fahamika. REUTERS/Stringer
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.