Pata taarifa kuu
UGANDA-AL SHABAB-Usalama

Uganda: washukiwa wa Al Shabab wakamatwa

Polisi nchini Uganda imetangaza kuwatia nguvuni washukiwa wa kundi la Al-shabaab wenye asili ya Kisomalia huku ubalozi wa Marikani ukionya raia wake kuwa makini nchini humo. Wadadisi nchini humo wamesema kuwa ili kumaliza kundi hilo lazima nchi za ukanda wa Afrika Mashariki kushirikiana.

watu 64 waliuawa katika shambulio la kigaidi liliyotokea katika mji mkuu wa Uganda, Kampala, Julai 11 mwaka 2010.
watu 64 waliuawa katika shambulio la kigaidi liliyotokea katika mji mkuu wa Uganda, Kampala, Julai 11 mwaka 2010. Reuters/Ronald Kabuubi
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.