Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Tabia ya wanaume kuwavua nguo wanawake wanaovaa nguo fupi

Imechapishwa:

Ijumaa hii tunaangazia tabia ya  baadhi ya wanaume barani Afrika au maeneo mengine duniani, kuwavamia na kuwavua nguo wanawake wanaovaa nguo fupi hasa Mini Sketi kama ilivyoshuhudiwa jijini Nairobi nchini Kenya katika siku za hivi karibuni.Je, tabia hii ni sahihi, na wanawake wana haki ya kuvaa wapendavyo ?

Vipindi vingine
  • 09:52
  • 09:41
  • 09:48
  • 09:57
  • 09:31
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.