Pata taarifa kuu
RWANDA-GRUNETI-USALAMA

Mripuko wa gruneti wawaua watu watatu Rwanda

Wakati ulimwengu ukijiandaa kuupokea mwaka mpya wa 2015, magharibi mwa Rwanda kumetokea mlipuko wa Guruneti Jumatano Desemba 31 mwaka 2014, na kugharimu maisha ya watu watatu. Kutoka Kigali mwanahabari wetu Bryson bichwa anaarifu zaidi.

Gwaride la askari wa Rwanda wakati wa sherehe ya  ukombozi. Kigali, Julai 4 mwaka 2014.
Gwaride la askari wa Rwanda wakati wa sherehe ya ukombozi. Kigali, Julai 4 mwaka 2014. RFI/Stéphanie Aglietti
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.