Afya - Mazingira

Syndicate contentAFYA - MAZINGIRA
Kimbunga Sandy kikiendelea kupiga majiji nchini Marekani baada ya kutoka Carribean na kupiga Canada
30/10/2012 - MAREKANI

Kimbunga Sandy chapiga Pwani za Majiji nchini Marekani na kusababisha vifo vya watu 16

Kimbunga kikali ambacho kimepiga nchini Marekani hasa upande wa Mashariki mwa Taifa hilo kinachotambulika kwa jina la Sandy kimesababisha vifo vya watu kumi na sita wakiwemo watoto watatu huku ...

Kimbunga kinachokaribia Majiji kadhaa nchini Marekani kimesababisha kufungwa kwa shule pamoja na kuvunjika kwa safari za ndege na reli
29/10/2012 - MAREKANI

Kimbunga chaendelea kuikaribia Marekani huku safari za ndege zikisitishwa kuchukua tahadhari

Kimbunga kinachombatana na mchanga na kupiga ufukweni nchini Marekani kimeshuhudia miji kadhaa ikikumbana na madhara na tayari serikali ya Washington imewataka wananchi kuchukua tahadhari ...

Wapigambizi wakiendelea kuopoa maiti za abiria waliopoteza maisha kwenye ajali ya kivuko nchini India
01/05/2012 - INDIA

Zoezi la Uokoaji wa Manusura waliozama kwenye kivuko nchini India linaendelea kushika kasi

Wapigambizi na Kikosi Maalum cha Waokoaji nchini India wameendelea na zoezi la kusaka manusura wa ajali ya kivuko kilichozama katika Mto Brahmaputra uliopo kwenye Jimbo la Assam na kusababisha ...

13/12/2011 - CANADA

Canada yawa nchi ya kwanza kujitoa kwenye Utekelezaji wa Mkataba wa Kyoto

Canada imekuwa nchi ya kwanza kujiondoa rasmi kwenye utekelezaji wa Mkataba wa Kyoto wa mwaka elfu moja mia tisa na tisini na saba ukiwa na lengo la kudhibiti Mabadiliko ya Tabia Nchi pamoja na ...

Mungu awajaalie watoto hawa kupata nafuu mapema.
01/08/2011 - SOMALIA

AU kukutana Jumanne ijayo, kujadili namna ya kukabiliana na ukame

Mashirika ya misaada yameendeleza juhudi za kuwapatia chakula, waathirika wa baa la njaa nchini Somalia na Umoja wa Afrika, umepanga kukutana jijini Adiss Ababa kujadili namna ya kukabiliana na ...

Ratko Mladic, mtuhumiwa wa mauaji ya kimbari ya nchini Yugoslavia akiwa mahakamani The Hague.
03/06/2011 - Uholanzi

Mtuhumiwa wa mauaji ya kimbari Mladic asomewa mashtaka huko The Hague

Mkuu wa Majeshi wa zamani wa Bosnia Jenerali Ratko Mladic yuko kizimbani , The Hague Uholanzi, mbele ya majaji wanaosikiliza kesi za mauaji ya kimbari ya iliyokuwa Yugoslavia.

Matango ni aina ya matunda ambayo yana vitamini nyingi.
03/06/2011 - Ujerumani

Maradhi yanayosababishwa na matango hayajawahi kushuhudiwa

Watalaam wa afya nchini Ujerumani wanasema kuwa maradhi yanayosababishwa na matango ni bakteria wapya, na wanaweza kuathiri maini na damu ya mtumiaji.

Close