Pata taarifa kuu
MAREKANI-BALTIMORE-SHERIA-HAKI

Marekani : maafisa 6 wafunguliwa mashtaka Baltimore

Mahakama mjini Baltimore nchini Marekani imewafungulia mashtaka maafisa sita wa polisi kwa tuhma za kuhusika na kifo cha kijana mweusi Freddie Gray.

Maandamano Baltimore Jumamosi Aprili 25 ya kupinga dhidi ya kifo cha kijana mweusi, raia wa Marekani.
Maandamano Baltimore Jumamosi Aprili 25 ya kupinga dhidi ya kifo cha kijana mweusi, raia wa Marekani. REUTERS/Lucas Jackson
Matangazo ya kibiashara

Kiongozi wa mashtaka Marilyn Mosby amesema polisi hao wana kesi ya kujibu.

Gray alijeruhiwa akiwa kizuizini na baadae kupoteza maisha mwezi Aprili.

Kifo cha kijana huyo mweusi kilisabbaisha maaandamano makubwa katika miji mbalimbali nchini Marekani.
Freddie Gray alifariki kutokana na majeraha akiwa mikononi mwa polisi.

Awali maelfu ya watu waliandamana katika miji mikubwa nchini Marekani kushinikiza polisi kuacha kuwanyanyasa watu wenye asili ya Afrika.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.