Asia

Mtoto wa Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistan, Yousuf Raza Gilani, Ali Haider Gilani ambaye ametekwa na watu wenye silaha
09/05/2013 - PAKISTAN

Mtoto wa Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistan Raza Gilani atekwa nyara kwenye kampeni za mwisho na watu wenye silaha

Watu wenye silaha nchini Pakistan wamemtekanyara mtoto wa Waziri Mkuu wa zamani wa taifa hilo Yousuf Raza Gilani, Ali Haider Gilani katika siku ya mwisho ya kampeni kabla ya wananchi wa Taifa hilo ...

Kiwanda cha nguo nchini Bangladesh kikishika moto na kusababisha vifo vya watu wanane
09/05/2013 - BANGLADESH

Watu wanane wamepoteza maisha nchini Bangladesh baada ya moto kuzuka kwenye kiwanda cha nguo

Watu wanane wamepoteza maisha nchini Bangladesh baada ya kuzuka kwa moto kwenye kiwanda cha nguo ikiwa ni ajalia nyingine kwenye sekta hiyo ya viwanda kipindi hiki idadi ya watu waliokufa kwenye ...

Polisi nchini Bangladesh wakiwa wameshika doria katika Jiji la Dhaka kukabiliana na waandamanaji watakaosababisha ghasia
08/05/2013 - BANGLADESH

Ulinzi waimarishwa nchini Bangladesh huku maandamano ya siku mbili yaliyoitishwa na Upinzani yakianza

Jeshi la Polisi nchini Bangladesh limeimarisha ulinzi mkali katika Mji Mkuu Dhaka ikiwa ni tahadhari ya kukaa tayari kukabiliana na ghasia zozote zinazoweza kuzuka wakati maandamano yaliyoitishwa ...

Mwanasiasa Imran Khan akiwa hospitali akiendelea kupatiwa matibabu baada ya kuanguka jukwaani akiwa kwenye kampeni Jijini Lahore
08/05/2013 - PAKISTAN

Mwanasiasa Imran Khan afya yake imeimarika baada ya kupatiwa matibabu kufuatia kuanguka jukwaani

Mwanasiasa mahiri nchini Pakistani Imran Khan aliyeanguka jukwaani akiendelea na kampeni zake za kunadi sera anaendelea kupatiwa matibabu hospital kufuatia kupata majeraha kichwani na sasa hali ...

Rais wa Marekani Barack Obama akisalimiana na Rais wa Korea Kusini Park Guen-Hye katika Ikulu ya White House
08/05/2013 - MAREKANI-KOREA KUSINI-KOREA KASKAZINI

Marekani na Korea Kusini zajiapiza kuwa tayari kupambana na vitisho vinavyotolewa kwao na Taifa la Korea Kaskazini

Viongozi wa Marekani na Korea Kusini wametangaza kutokuwa na huruma yoyote dhidi ya Serikali ya Korea Kaskazini iliyo mstari wa mbele kwa kutoa vitisho vya kuyashambulia mataifa hayo mawili ...

Polisi nchini Bangladesh wakipambana na Waumini wa Kiislam walioandamana kutaka uwepo wa sheria madhubuti ya kukabiliana na wale wanaokufuru
07/05/2013 - BANGLADESH-UMOJA WA MATAIFA

Upinzani nchini Bangladesh waitisha maandamano ya siku mbili kupinga mauaji yaliyofanywa dhidi ya Waumini wa Kiislam

Vyama vya Upinzani nchini Bangladeshi vimeitisha maandamano ya kitaifa ya siku mbili yatakayoanza siku ya jumatano kuonesha kuguswa kwao na vifo vilivyosababishwa na mapambano baina ya Waumini wa ...

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-Un akiwa akiangalia maeneo waliyoweka makombora yao ya kujilinda kabla ya kuondolewa
07/05/2013 - KOREA KASKAZINI-KOREA KUSINI-MAREKANI

Korea Kaskazini yaondoa Makombora yake kabla ya Marekani na Korea Kusini hazijafanya mkutano wa kujadili Usalama wa Eneo la Peninsula

Serikali ya Korea Kaskazini imefikia uamuzi wa kuondoa makombora yake mawili katika Pwani yake ambayo yaliwekwa tayari kwa ajili ya kufanyiwa majaribio licha ya Pyongyang na Korea Kusini kuendelea ...

Polisi nchini Bangladesh wakiwasambaratisha waumini wa kiislam wanaotaka kupitishwa kwa sheria mpya ya kukufuru
06/05/2013 - BANGLADESH

Waumini wa Kiislam 32 wapoteza maisha kwenye maandamano nchini Bangladesh wakishinikiza kupitishwa kwa Sheria ya Kukufuru

Watu wapatao thelathini na wawili wamepoteza maisha nchini Bangladesh wakati jeshi la Polisi linazima maandamano ya Waumini wa Kiislam ambao walijitokeza kwenye Jiji la Kibiashara la Dhaka ...

Viongozi wa Muungano wa Barisal ambao wameshinda kwenye Uchaguzi Mkuu nchini Malaysia
06/05/2013 - MALAYSIA

Upinzani wapinga matokeo ya Uchaguzi nchini Malaysia huku Waziri Mkuu Najib akiahidi kusimamia maridhiano baada ya ushindi

Muungano wa Vyama Tawala nchini Malaysia umefanikiwa kushinda kwenye uchaguzi mkuu uliofanyika jana na kufanikiwa kuendelea kusalia madarakani baada ya kuongoza nchi hiyo kwa kipindi cha miaka ...

Rais wa Iran Mahmoud Ahmadinejad akikagua kinu kimoja wapo cha nyuklia kinachomikiliwa na taifa hilo
05/04/2013 - IRAN-KAZAKHSTAN

Mazungumzo ya kusaka suluhu ya mgogoro wa nyuklia unaoikabili Iran yameanza na kuzileta pamoja pande sita

Iran na Mataifa yenye nguvu Duniani kwa pamoja wameanza mazungumzo ya kujadili mgogoro wa nyuklia wa Tehran ambao nchi hiyo unataka ukubaliwe kutokana na lengo lake ni kuwasaidia wananchi wake ...

Wanajeshi wa Marekani na Korea Kusini wakiendelea na mazoezi kujiwinda na mashambulizi kutoka Korea Kaskazini
05/04/2013 - KOREA KASKAZINI-KOREA KUSINI-MAREKANI

Hofu ya kuibuka vita kati ya Korea Kaskazini na Marekani yaongezeka huku kila upande ukiweka sawa zana zake za Kijeshi

Hofu ya kuibuka kwa vita vya tatu vya dunia imeendelea kukua baada ya Korea Kaskazini na Marekani kuendelea kutunishiana misuli kutokana na kila upande kuweka tayari silaha zake kwa ajili ya ...

Kikosi cha Uokoaji kikiondoa mabaki ya kifusi cha ghorofa kusaka watu walionaswa chini nchini India
05/04/2013 - INDIA

Watu 29 wapoteza maisha nchini India baada ya Jengo la Ghorofa 7 lililokuwa linajengwa kuanguka

Watu 29 wanatajwa kupoteza maisha nchini India na wengine zaidi ya 50 wamejeruhiwa baada ya kuanguka kwa jengo la ghorofa saba lililokuwa linaendelea kujengwa katika Mji wa Mumbai.

Jeshi la Korea Kaskazini likiwa kwenye gwaride maalum na sasa limepewa ruhusa ya kutumia silaha za nyuklia
04/04/2013 - KOREA KASKAZINI-MAREKANI

Korea Kaskazini yatoa ruhusa kwa Jeshi lake kutumia silaha za nyuklia kwenye mashambulizi yake dhidi ya Marekani

Serikali ya Korea Kaskazini imetoa onyo kwa mara nyingine kwa Marekani na kuitaka itambue Jeshi la nchi hiyo limeruhusiwa kutumia silaha zake za nyuklia kwenye mashambulizi yake.

Kizuizi kilichowekwa kuingia kwenye Ukanda nchini Korea Kaskazini kimewafanya wafanyakazi kutoka Korea Kusini kukwama nje
03/04/2013 - KOREA KASKAZINI-KOREA KUSINI-MAREKANI

Korea Kaskazini yawazuia wafanyakazi raia wa Korea Kusini kuingia kwenye Ukanda wa Viwanda unaomilikiwa kwa pamoja na pande hizo

Korea Kaskazini imewazuia wafanyakazi raia wa Korea Kusini kuweza kuingia kwenye Ukanda wa Viwanda ambao unamilikiwa kwa pamoja na pande hizo mbili mapema jumatano hatua inayoongeza hofu ya ...

Mtambo wa kuzalisha nyuklia wa Yongbyon ambao ulifungwa mwaka 2007 na unatarajiwa kufunguliwa upya
02/04/2013 - KOREA KASKAZINI

Serikali ya Korea Kaskazini imefungua upya Mtambo wake wa Nyuklia uliofungwa mwaka 2007

Serikali ya Korea Kaskazini inayoongozwa na Kim Jong-Un imesema dhamira yake ni kuanza upya kutumia mtambo wake wa kuzalisha nyuklia walioufungwa mwaka 2007 huku pia wakisema huenda wakaanza ...

Rais wa Korea Kusini Park Geun-Hye siku akila kiapo cha kuongoza Taifa lake na amesema wapo tayari kukabiliana kijeshi na Korea Kaskazini
01/04/2013 - KOREA KASKAZINI-KOREA KUSINI

Rais wa Korea Kusini Park atangaza utayari wa nchi yake kuingia vitani dhidi ya jirani zao Korea Kaskazini baada ya kuchoshwa na vitisho vyao

Rais Mpya wa Korea Kusini Park Geun-Hye ametoa ahadi ya kuwa tayari kukabiliana kijeshi na jirani zao wa Korea Kaskazini ambao wametangaza nchi hizo mbili zipo kwenye hali ya kivita.

Wauzaji wa magazeti nchini Myanmar wakiwa na magazeti yaliyoruhusiwa kuuzwa baada ya kuwa kitanzini kwa miongo kadhaa
01/04/2013 - MYANMAR

Serikali ya Myanmar yaruhusu uchapishaji na usambazaji wa magazeti yanayomilikiwa na watu binafsi ikiwa ni miongo karibu mitatu tangu yaingie kitanzini

Serikali ya Myanmar imanza kuonesha kwa vitendo inaheshimu uhuru wa vyombo vya habari baada ya kuruhusu kuchapishwa na kusambazwa kwa magazeti binafsi ambayo kwa miongo kadhaa yalikuwa ...

Askari nchini India wakiwa kwenye doria baada ya kutokea kwa shambulizi nje ya Ukumbi wa Sinema huko Hyderabad
22/02/2013 - INDIA

Jeshi la Polisi nchini India limekiri kupewa mapema taarifa za uwepo wa mpango wa mashambulizi huko Hyderabad

Jeshi la Polisi nchini India limesema Wanamgambo wa Kiislam walishatoa onyo la kuwa na mapngo wa kutekeleza shambulizi katika eneo la Hyderabad lakini hakuna taadhari zozote ambazo zilichukuliwa ...

Rais wa Iran Mahmoud Ahmadinejad akikagua kinu cha nyuklia cha Natanz ambacho kinaelezwa kupatiwa zana za kisasa zaidi
22/02/2013 - IRAN

Mataifa ya Magharibi yaitaka Iran kuacha kurutubisha nyuklia kabla ya kufanyika mazungumzo chini ya Shirika la IAEA

Mataifa yenye Nguvu Duniani yameanza kushusha lawama zake kwa Iran siku chache kabla ya kufanyika kwa mazungumzo juu ya nchi hiyo kuendelea na mpango wake wa kitengeneza nyuklia ikidaiwa imeingiza ...

Wanawake wa Jamii ya Washia wakiendelea na maandamano yao wakitaka kumalizwa kwa umwagaji wa damu
19/02/2013 - PAKISTAN

Watu wanne wauawa wakihusishwa na mauaji ya Washia 89 mwishoni mwa juma huku maandamano yakiendelea

Jeshi la Polisi nchini Pakistani limewaua watu wanne na kuwakamata wengine saba ambao wanatuhumiwa kutekeleza mashambulizi yaliyochangia mauaji ya Washia wapatao 89 mwishoni mwa juma.

Waumini Washia waliouawa nchini Pakistan kwenye mashambulizi ambayo yametekelezwa mwishoni mwa juma
18/02/2013 - PAKISTAN

Umoja wa Mataifa UN umelaani vikali mauaji ya Washia huko Pakistan na kutaka hatua za haraka kuchukuliwa kudhibiti

Umoja wa Mataifa UN umelaani vikali mauaji yanayoendelea dhidi ya wafuasi wa Kishia ambao waumini 81 wamepoteza maisha kwenye shambulizi lililotekeleza Kusini Magharibi mwa Pakistan na kutaka ...

Wahumiwa wa Ubakaji nchini India wakiwa kwenye gari wakiingia katika Mahakama inayosikiliza kesi yao
29/01/2013 - INDIA

Mahakama Kuu nchini India yakataa kuondoa kesi ya Ubakaji inayowakabili watuhumiwa watano katika Jiji la New Delhi

Mahakama Kuu nchini India imetupilia mbali ombi lililowasiliswa na upande wa utetezi la kutaka kuhamisha kesi inayowakabiliwa watuhumiwa watano wa mauaji, utekajinyara na ubakaji wa mwanafunzi wa ...

Wanawake wa India wakifanya maandamano kushinikiza makundi ya wabakaji yachukuliwe hatua na kutokomezwa
03/01/2013 - INDIA

Watuhumiwa watano wa ubakaji wa msichana wa miaka 23 wafikishwa Mahakamani nchini India na huenda wakahukumiwa kifo

Jeshi la Polisi nchini India hatimaye limewafungulia rasmi mashtaka watuhumiwa watano wa mauaji, utekajinyara na ubakaji wa msichana mwenye umri wa miaka 23 aliyekuwa anasomea Udaktari huko New ...

Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa UN kikiondoka nchini Timor Mashariki baada ya kuhudumu kwa miaka 13
31/12/2012 - TIMOR MASHARIKI

Umoja wa Mataifa UN wamaliza operesheni yake ya kulinda amani nchini Timor Mashariki baada ya miaka 13

Umoja wa Mataifa UN umemaliza muda wa Majeshi yake ya Kulinda Amani nchini Timor Mashariki baada ya kuhudumu kwa kipindi cha miaka kumi na tatu kuhakikisha hali ya usalama inatengemaa katika Taifa ...

Waandamanaji nchini China ambao wanadai umiliki wa Kisiwa cha Senkaku kinachomilikiwa na Japan
18/09/2012 - CHINA-JAPAN

Mgogoro wa kuwania Kisiwa baina ya Japan na China watishia uhusiano wa kidplomasia baina ya mataifa hayo

Uhusiano baina ya China na Japan unaelekea kuzidi kuharibika kutokana na kushuhudiwa kwa kauli zinazodhihirisha hali si shwari baina ya nchi hizo kipindi hiki ambacho huko Beijing kuna maandamano ...

Waandamanaji nchini China wakipambana na Polisi ikiwa ni muendelezo wa kupinga Japan kumiliki Kisiwa kilichopo Mashariki mwa China
17/09/2012 - CHINA-JAPAN

Japan imefunga viwanda vyake nchini China kutokana na mgogoro wa kuwania Kisiwa uliochangia maandamano

Serikali ya Japan imelazimika kufunga viwanda vyake vilivyopo nchini China kutokana na waandamanaji wanaoipinga nchi hiyo kushambulia viwanda hivyo na kuhatarisha usalama wa wafanyakazi pamoja na ...

Kinu cha kuzalisha nyuklia nchini Japan cha Fukushima ambacho mionzi yake ilivuja baada ya kutokea kwa Tsumani
05/07/2012 - JAPAN

Janga la kuvuja kwa mionzi ya nyuklia huko Fukushima labainika ni la kutengenezwa na binadamu

Mkasa wa kuvuja kwa mionzi ya nyuklia nchini Japan kutoka kwenye kinu cha Fukushima mwaka mmoja uliopita umebainika kuwa ni janga ambalo limetengenezwa na binadamu na halikuchangiwa na tetemeko la ...

Kiongozi wa Upinzani nchini Myanmar Aung San Suu Kyi akiwasili Uwanja wa Ndege wa Bangkok, Thailand
30/05/2012 - MYANMAR-THAILAND

Kiongozi wa Upinzani Nchini Myanmar Suu Kyi azuru Thailand na kuwaahidi wahamiaji atawasaidia kurejea nyumbani

Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Myanmar na Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel Aung San Suu Kyi amewasili nchini Thailand ikiwa ni zaira yake ya kwanza kuifanya katika kipindi cha miaka ishirini ...

Kiongozi wa Upinzani Nchini Myanmar na Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel Aung San Suu Kyi anayetarajia kuzuru Thailand hii leo
29/05/2012 - MYANMAR-THAILAND

Kiongozi wa Upinzani Nchini Myanmar Suu Kyi kufanya ziara ya kwanza nje ya nchi baada ya miaka 24

Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Myanmar na Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel Aung San Suu Kyi anafanya ziara ya kwanza nje ya nchi hiyo katika kipindi cha miaka ishirini na minne ambayo alikuwa ...

Mwanaharakati wa Haki za Binadamu Nchini China Chen Gaucheng akiwa katika Hospital ya Beijing anakopatiwa matibabu baada ya kutoka Ubalozi wa Marekani alikopewa hifadhi
03/05/2012 - CHINA-MAREKANI

Mwanaharakati wa Haki za Binadamu Nchini China Guangcheng na familia yake wataka kuishi uhamishoni Marekani

Mwanaharakati wa Haki za Binadamu nchini China mwenye ulemavu wa macho Chen Guangcheng ameiomba serikali ya Marekani kumpa hifadhi yeye pamoja na familia yake baada ya kukamilika kwa mpango wa ...

Wanaharakati Chen Guangcheng mwenye ulemavu wa macho ametoka katika Ubalozi wa Marekani baada ya kupata hifadhi kwa siku sita
02/05/2012 - CHINA-MAREKANI

Mwanaharakati wa China Guangcheng aondoka Ubalozi wa Marekani baada ya kupata hifadhi kwa siku sita

Mwanaharakati wa China mwenye ulemavu wa macho ambaye alitoroka kifungo cha ndani na kisha kupatiwa hifadhi ya malazi katika Ubalozi wa Marekani Jiji Beijing Chen Guangcheng ameondoka Ubalozini ...

Shambulizi la kujitoa mhanga lililotekelezwa nchini Afghanistan na Kundi la Wanamgambo wa Taliban
02/05/2012 - AFGHANISTAN

Kundi la Taliban laua watu saba kwenye shambulizi la bomu huko Kabul kuadhimisha mwaka mmoja wa kifo cha Osama

Watu saba wamepoteza maisha kwenye Mashambulizi ya Mabomu ambayo yametekelezwa na Kundi la Wanamgambo wa Taliban nchini Afghanistan saa kadhaa baada ya Rais wa Marekani Barack Obama kufanya ziara ...

Kiongozi wa Upinzani Nchini Myanmar Aung San Suu Kyi akila kiapo pamoja na wabunge wengine 33 katika Bunge la nchi hiyo huko Naypyiadaw
02/05/2012 - MYANMAR

Aung San Suu Kyi pamoja na wabunge wengine 33 wa NLD wala kiapo kuwa Wabunge nchini Myanmar

Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Myanmar na Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel Aung San Suu Kyi hatimaye amekula kiapo cha kuwa Mbunge wa Bunge la nchi hiyo pamoja na wabunge wengine thelathini na ...

Rais wa Marekani Barack Obama akisaini makubaliano na Rais wa Afghanistan Hamid Karzai juu ya ahadi ambazo zitatekelezwa baada ya kumalizika kwa vita
02/05/2012 - AFGHANISTAN-MAREKANI

Rais wa Marekani Obama atangaza mwisho wa vita yao nchini Afghanistan ikiwa ni Mwaka mmoja baada ya Kifo cha Osama Bin Laden

Rais wa Marekani Barack Obama ametangaza rasmi mwisho wa vita yao nchini Afghanistan baada ya kufanikiwa kutekeleza hatua kama hiyo nchini Iraq kauli ambayo ameitoa alipofanya ziara ya kushtukiza ...

Wapigambizi wakiendelea kuopoa maiti za abiria waliopoteza maisha kwenye ajali ya kivuko nchini India
01/05/2012 - INDIA

Zoezi la Uokoaji wa Manusura waliozama kwenye kivuko nchini India linaendelea kushika kasi

Wapigambizi na Kikosi Maalum cha Waokoaji nchini India wameendelea na zoezi la kusaka manusura wa ajali ya kivuko kilichozama katika Mto Brahmaputra uliopo kwenye Jimbo la Assam na kusababisha ...

Kiongozi wa Upinzani Nchini Myanmar Aung San Suu Kyi akiwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa UN Ban Ki Moon kwenye mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika huko Yangon
01/05/2012 - MYANMAR

Katibu Mkuu wa UN Ban apongeza kitendo cha Kiongozi wa Upinzani nchini Myanmar Suu Kyi kula kiapo kuwa Mbunge

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa UN Ban Ki Moon amempongeza Kiongozi wa Upinzani na Mwanademokrasia nchini Myanmar Aung San Suu Kyi kutokana na kitendo chake cha kuamua kula kiapo cha kuwa Mbunge ...

Rais wa Myanmar Thein Sein akiwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa UN Ban Ki Moon walipokutana kwenye makazi ya Rais
30/04/2012 - MYANMAR

Katibu Mkuu wa UN Ban aiagiza Serikali ya Myanmar kumaliza umwagaji wa damu Kaskazini mwa Nchi hiyo

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa UN Ban Ki Moon ameitaka serikali ya Myanmar kumaliza umwagaji wa damu ambao unaendelea kushuhudiwa Kaskazini mwa nchi hiyo huku akimsihi Rais Thein Sein na Kiongozi ...

Wakazi wa Indonesia hasa eneo la Banda Aceh wakiyahama makazi yao kupisha tetemeko la chini ya bahari Tsunami lililokuwa linatarajiwa kutokea
11/04/2012 - SRI LANKA-THAILAND-INDONESIA

Onyo la kutokea kwa Tsunami kwenye Pwani ya Bahari ya Hindi laondolewa baada ya kutokea tetemeko la ardhi huko Sumatra

Onyo la kutokea kwa tetemeko la chini ya bahari maarufu kama Tsunami lililokuwa linatarajiwa kupiga eneo la Pwani ya Bahari ya Hindi limeondolewa baada ya tetemeko lenye kipimo cha nane nukta sita ...

Wananchi wa Indonesia wakikimbia makazi yao baada ya kutolewa onyo la kutokea kwa Tsunami kwenye Pwani ya Bahari ya Hindi
11/04/2012 - SRI LANKA

Onyo la kutokea Tsunami kwenye Pwani ya Bahari ya Hindi latolewa wakati huu ambapo Sri Lanka ikiwa muathirika wa kwanza

Onyo la kutokea kwa Tetemeko la Nchini ya Bahari maarufu kama Tsunami kwenye Visiwa vilivyopo ndani ya Bahari ya Hindi limetolewa baada ya Kisiwa cha Sri Lanka kupigwa na tetemeko hilo kitu ...

Makombora ya masafa marefu ya Korea Kaskazini ambayo yanatarajiwa kujaribiwa wakati wowote wiki hii
11/04/2012 - KOREA KASKAZINI-MAREKANI-JAPAN

Korea Kaskazini imesema mpango wake wa kufanya majaribio ya makombora ya masafa marefu utatekelezwa

Korea Kaskazini imeanza kujaza mafuta kwenye makombora yake kabla ya kutekeleza mpango wake wa kufanya majaribio ambayo yamepangwa kufanyika baadaye wiki hii licha ya kukutana na upinzani mkubwa ...

Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron anayetarajiwa kuzuru nchini Myanmar hapa akizungumza na Wanahabari huko Ubelgiji, Brussels
09/04/2012 - MYANMAR-UINGEREZA

Waziri Mkuu wa Uingereza kuzuru Myanmar mwishoni mwa juma hili

Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron anatarajiwa kuzuru nchini Myanmar baadaye juma hili na atakuwa Kiongozi wa kwanza wa juu kutoka Mataifa ya Magharibi kutembelea taifa hilo ambalo limeongozwa ...

Makombora ya masafa marefu ya Korea Kaskazini ambayo yanatarajiwa kujaribiwa baadaye mwezi huu
09/04/2012 - KOREA KASKAZINI

Korea Kaskazini inajiandaa kufanya majaribio yake makombora yake ya masafa marefu wakati Korea Kusini ikijipanga Kijeshi

Korea Kaskazini inajiandaa kufanya majaribio ya makombora yake ya masafa marefu tarehe kumi na mbili au kumi na sita ya mwezi huu wakati huu ambapo Korea Kusini ikiendelea kutoa onyo kwa jirani ...

Wananchi wa Afghanistan wakiwa kwenye maandamano ya kupinga kuchomwa kwa Quran Tukufu kulikofanywa na Majeshi ya Marekani
01/03/2012 - AFGHANISTAN-MAREKANI

Wanajeshi wawili wa Majeshi ya NATO wauawa nchini Afghanistan baada ya kupigwa risasi

Wanajeshi wawili wa Jeshi la Kujihami la nchi za Magharibi NATO linaloshika doria nchini Afghanistan wameuawa baada ya kupigwa risasi Kusini mwa Jimbo la Kandahar na wanajeshi wa taifa hilo.

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un akiwa na Viongozi wa Juu wa jeshi nchini humo
01/03/2012 - KOREA KASKAZINI-MAREKANI-CHINA

Korea Kaskazini yatangaza mpango wake wa kusitisha kuzalisha nyuklia

Serikali ya Korea Kaskazini imekubali kusitisha kuendelea kufanya uzalishaji wa madini ya uranium, kusitisha majaribio ya nyuklia pamoja na kuacha kufanya majaribio ya makombora yao ya masafa ...

Vifaru vya serikali ambavyo vinatumika kufanya mashambulizi katika Jiji la Homs nchini Syria na kusitisha huduma za kibinadamu kufika kwa wananchi
29/02/2012 - SYRIA-CHINA

China yataka Jumuiya ya Kimataifa kuhakikisha misaada inawafikiwa wananchi wa Syria wanaotahabika

Serikali ya China imeiambia Jumuiya ya Nchi za Kiarabu ni lazima misaada ya kibinadamu iweze kuwafikia wananchi wanaokabiliwa na hali mbaya nchini Syria na kutaka machafuko yanayoendelea ...

Eneo ambalo shambulizi la basi limefanywa na watu wenye silaha na kuua abiria 18
28/02/2012 - PAKISTAN

Watu wenye silaha washambulia basi na kuua watu 18 huko Pakistan

Watu wenye silaha wameshambulia basi moja katika eneo la Kaskazini mwa nchi ya Pakistan na kuuwa waumini kumi na wanane wa dhehebu la Washia waliokuwa wanasafiri kwa kutumia basi hilo.

Shambulizi la bomu lililotekelezwa na Kundi la Wanamgambo wa Taliban katika Uwanja wa Ndege huko Jalalabad
27/02/2012 - AFGHANISTAN-MAREKANI

Kundi la Taliban lafanya shambulizi la kulipiza kisasi kwa kuchomwa Quran Tukufu

Watu tisa wameuawa na wengine kumi wakijeruhiwa kwenye shambulizi la bomu la kujitoa mhanga lililotekelezwa na Mfuasi wa Kundi la Wanamgambo wa Taliban Mashariki mwa Afghanistan katika Jiji la ...

Australia's PM retains Labor Party Leadership
27/02/2012 - AUSTRALIA

Waziri Mkuu Julia Gillard ashinda kura ya kuwa na imani naye dhidi ya Kevin Rudd

Waziri Mkuu wa Australia Julia Gillard ameshinda kura ya kuwa na imani naye au la aliyoiitisha juma lililipota na kupigwa mapema leo jumatatu katika Bunge la nchi hiyo kwa lengo la kumaliza mzozo ...

Shambulizi la bomu lililotekelezwa na Kundi la Wanamgambo wa Taliban katika Uwanja wa Ndege huko Jalalabad
27/02/2012 - AFGHANISTAN-MAREKANI

Kundi la Taliban lafanya shambulizi la kulipiza kisasi kwa kuchomwa Quran Tukufu

Watu tisa wameuawa na wengine kumi wakijeruhiwa kwenye shambulizi la bomu la kujitoa mhanga lililotekelezwa na Mfuasi wa Kundi la Wanamgambo wa Taliban Mashariki mwa Afghanistan katika Jiji la ...

Wapiganaji wa Taliban ambao wamekuwa wakifanya mashambulizi dhidi ya vikosi vya Pakistan
03/02/2012 - PAKISTAN

Wanajeshi 8 wa Pakistan wauawa katika shambulio la wanamgambo wa Taliban

Wanajeshi saba wa jeshi la Pakistan wameripotiwa kuuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa vibaya katika shambulio lililotekelezwa na wanamgambo wa kundi la Taliban jimboni Shidano Dand.

Waziri Mkuu wa Pakistan Yusuf Raza Gilani
02/02/2012 - PAKISTAN

Mahakama kuu nchini Pakistan yathibitisha mashtaka dhidi ya Waziri Mkuu Yousuf Raza Gilan

Mahaka ya juu nchini Pakistan imemuagiza Waziri Mkuu wa nchi hiyo Yousuf Raza Gilani kutokea mahakamani hapo tarehe 13 mwezi huu kujibu mashtaka ya kwanini alikataa kufungua kesi za rushwa ...

Waziri mkuu wa Papua New Ginea, Peter O'Neill
02/02/2012 - PAPUA NEW GUINEA

Watu 200 waokolewa baada ya kivuko kuzama nchini Papua New Guinea

Zaidi ya watu mia mbili wameokolewa katika pwani ya bahari ya nchi ya Papua New Guinea baada ya kivuko walichokuwa wakisafiria kuzama kaskazini mwa nchi hiyo kwenye mpaka wake na Australia.

Msemaji wa jeshi la Sudan, Sawarmi Khaled Saad, akizungumza na waandishi wa habari
01/02/2012 - SUDANI-CHINA

China yatuma wataalamu wake kwenda nchini Sudan kujaribu kuwaokoa raia wake 29 wanaoshikiliwa mateka na waasi wa Kordofan

Nchi ya China kupitia wizara ya mambo ya nje imeitaka Serikali ya Sudan kufanya kila linalowezekana kuhakikisha inafanikisha kuachiliwa huru kwa raia wake ambao wanaendelea kushikiliwa na waasi wa ...

Ramani ya nchi ya Misri
01/02/2012 - MISRI-CHINA

Mateka 29 raia wa China waliokuwa wametekwa nyara nchini Misri waachiliwa huru wakiwa salama

Serikali ya China hii leo imedhibitisha kuachiliwa huru kwa raia wake zaidi ya ishirini na tano ambao walikuwa wametekwa nyara kaskazini mwa nchi ya Misri kwenye mji wa Sinai ambao walikuwa ni ...

26/01/2012 - PAPUA NEW GUINEA

Wanajeshi Nchini Papua New Guinea wafanya mapinduzi kushinikiza uamuzi wa Mahakama uheshimiwe

Wanajeshi nchini Papua New Guinea wamefanya mapinduzi ambayo yameenda sambamba na kumweka chini ya ulinzi wa nyumbani Mkuu wa Majeshi Brigedia Jenerali Francis Agwi wakitaka Waziri Mkuu wa zamani ...

Close