Syndicate content
Ali Bilali
Mazishi ya kiongozi wa upinzani Chokri Belaïd, tarehe  8 Februari 2013
08/02/2013 - Tunisia-Mazishi

Mamia ya wananchi wajitokeza nchini Tunisia kushiriki mazishi ya kiongozi wa upinzani Chokri Belaid

Halaiki ya watu wamejitokeza nchini Tunisia kuhudhiria mazishi ya kiongozi mkuu wa upinzani Chokri Belaid aliyeuawa juzi jumatano akiwa nje kidogo ya nyumbani kwake jijini Tunis.

Viongozi wa Umoja wa Ulaya katika mkutano wa Brussels
08/02/2013 - EU-mkutano

Viongozi wa Ulaya waendelea kulumbana kuhusu bajeti ya Umoja huo

Viongozi wa Umoja wa Ulaya EU wametofautiana kuhusu bajeti ya Jumuiya hiyo, kutokana na baadhi ya nchi hususan Uingereza zikitaka mpango wa kubana matumizi ya fedha huku Ufaransa na Italia ...

08/02/2013 - Iraq-Mashambulizi

watu 29 wauawa nchini Iraq katika matukio tofauti

Takriban watu 29 wameuawa na wengine zaidi ya kumi wamejeruhiwa leo siku ya Ijumaa katika matukio tofauti ya kuvizia dhidi ya waumini wa kiislam wa madhehebu ya kishia nchini Iraq.

Viongozi wa SADC katika moja ya vikao jijini Dar Es Salaam
08/02/2013 - DRCongo-SADC

Viongozi wa SADC kukutana leo nchini Msumbiji kujadili suala la DRCongo

Rais wa msumbuji Armando Guebuza ameitisha kikao cha dharula cha viongozi wa jumuiya kicuhumi ya nchi za kusini mwa bara la Afrika SADC jiji Maputo Ijumaa hii, ili kujadili kuhusu hali ya ...

Tunis,  tarehe 7 Februari 2013.
08/02/2013 - Tunisia

Mgomo wa jumla waitishwa nchini Tunisia wakati mazishi ya Kiongozi wa upinzani Chokri Belaid yakifanyika, huku Marekani ikiwatolea wito wa kuwa watulivu

Mgomo wa jumla umeitishwa nchini Tunisia wakati mazishi ya kiongozi wa upinzani Chokri Belaid alieuawa hivi majuzi yakifanyika, mauaji ambayo yalizua ghasia na hasira miongoni mwa wafuasi wa ...

Kocha mkuu wa Nigeria Stephen Keshi
08/02/2013 - Michezo-AFCON

Kocha wa Nigeria atangaza nia yake ya kuachia ngazi wakati Burkina Faso ikisubiri uamuzi wa CAF juu ya kadi nyekundu aliopewa mchezaji wake

Kocha wa timu ya taifa ya soka ya Nigeria Stephen Keshi anayefahamika kwa jina maarufu kama the big boss amejitokeza na kuelezea sababu zake za kutaka kuacha kazi baada ya fainali ya kombe la ...

Msanii wa miondoka tofauti kutoka Uingereza
08/02/2013 - Muziki Ijumaa

Msanii wa miondoka tofauti kutoka Uingereza

Muziki Ijumaa leo tunamzungumzia msanii wa miondoko mbalimbali kutoka nchini Uingereza alexandra Imelda Cecilia

07/02/2013 - Syria-oic

Viongozi wa Jumuiya Kiarabu waendelea kugawanyika kuhusu mzozo wa Syria

Viongozi wa jumuiya ya kiarabu waendelea kugawanyika kuhusu suala la mzozo wa Syria katika mkutano unaotamatika alhamisi hii jijini Cairo nchini Mirsi, wakati upande moja ukiendelea kusisitiza ...
Viongozi wa Umoja wa Ulaya katika moja ya mikutano
07/02/2013 - EU-mkutano

Viongozi wa Ulaya wakutana kujadili swala la Badgeti ya Umoja huo mwaka 2014-2020

Viongozi wa mataifa na serikali za Umoja wa Ulaya EU wanakutana leo mchana jijini Brusels nchini Ubelgiji ili kujaribu kutafuta muafaka kuhusu badgeti ya 2014-2020 baada ya kushindwa kuafikiana ...

Uhuru Kenyatta Mgombea urais nchini Kenya, na makam wake William Rutto
07/02/2013

Wakili wa Uhuru Kenyatta katika kesi ya ICC asema atawakilisha ombi la kuachiwa huru mteja wake baada ya shahidi kudai kuwa alitowa ushaidi wa uongo

Wakili wa Naibu Waziri Mkuu wa Kenya Uhuru Kenyatta ambaye pia anawania urais nchini humo Steven Kay anataka Mahakama ya Kimataifa ya ICC kuachana na kesi inayomkabili mteja wake baada ya ...

Close