Syndicate content
Lizzy Anneth Masinga
Nyboma Mwan'dido mwanamuziki kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC aliyejizolea umaarufu katika miondoko ya Soukous
10/05/2013 - Muziki Ijumaa

Nyboma Mwan'dido mwanamuziki kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC aliyejizolea umaarufu katika miondoko ya Soukous

Makala ya Muziki Ijumaa leo yanapiga hodi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC na kukutana na mwanamuziki mashuhuri Nyboma Mwan'dido ambaye ameweza kuvuma sana kutokana na umahiri wake ...

03/05/2013 - Muziki Ijumaa

Niboma mwanamuziki mahiri wa vionjo vya kiafrika

Muziki wa kiafrika unaendelea kushika kasi na kupendwa na watu mbalimbali na wanamuziki wengi wa Afrika wanaendelea kutamba na muziki  huo na hata kuvuka mipaka ya Bara la Afrika.

Kiongozi wa Jeshi la uasi, LRA, Joseph Kony
26/04/2013 - Sudani

Sudani yanyooshewa kidole kuwa imempa Makazi Kiongozi wa Waasi wa LRA, Joseph Kony

Sudan imenyooshewa kidole kuwa imekuwa ikimpatia hifadhi Kiongozi wa Jeshi la waasi wa Lord's Resistance Army LRA Joseph Kony, Ripoti ya Shirika moja nchini Marekani imeeleza.

Vikosi vya uokoaji vikiendelea na zoezi ya kuwapata Watu waliofunikwa na Vifusi
26/04/2013 - Bangladeshi

Polisi nchini Bangladeshi wadhibiti maandamano ya Wafanyakazi wa Kiwanda cha nguo

Polisi nchini Bangadeshi imefanya kazi ya kudhibiti makundi ya Wafanyakazi wa Kiwanda cha Nguo ambao wamefanya maandamano makubwa kufuatia vifo vya wenzao Takriban 300 vilivyosababishwa na ...

Mtoto akiomboleza baada ya Shambulio la Bomu jijni Boston nchini marekani
26/04/2013 - Marekani

Jiji la NewYork nchini Marekani lakabiliwa na tishio la kushambuliwa kwa Bomu

Jeshi la Polisi nchini Marekani katika Jiji la New York limetoa taarifa ya kueleza walikuwa wanawasaka kwa udi na uvumba ndugu wawili waliotekeleza shambulizi kwenye Mji wa Boston kutokana na wao ...

Rais wa Korea kaskazini, Kim Jong Un
26/04/2013 - Korea kaskazini

Korea kaskazini yakataa pendekezo la Korea kusini kufanya Mazungumzo

Korea kaskazini imekataa ombi la Korea kusini la kufanya mazungumzo iliyoyaita ya kinafiki juu ya kuanza tena kwa shughuli za pamoja za uzalishaji katika viwanda na kuitaka Seoul kuondoa ...

Rais wa Syria, Bashar Al Assad
26/04/2013 - Marekani

Serikali ya Syria yashutumiwa kutumia Silaha za Kemikali kupambana na Waasi nchini humo

Serikali ya Marekani imesema kuna ushahidi unaonesha Rais Bashar Al Assad na Jeshi lake huko Syria wanatumia silaha za kikemikali katika mapambano yao dhidi ya Wapinzani ambao kwa zaidi ya miaka ...

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon
26/04/2013 - Mali

Baraza la Usalama laridhia kupeleka Vikosi vya kulinda amani nchini Mali

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeridhia kwa pamoja kupeleka Wanajeshi 12, 600 wa Kimataifa nchini Mali kuchukua jukumu la kulinda usalama kutoka kwa Vikosi vya Ufaransa na Afrika ...

Kiongozi wa Waasi wa M23, Betrand Bisimwa
26/04/2013 - DR Congo

Mazungumzo ya kupata Suluhu ya Congo yakwama huko Kampala

Mazungumzo ya kusaka amani ya kudumu Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC yamekwama kwa mara nyingine huku wajumbe kutoka serikali ya Kinshasa na Kundi la Waasi la M23 wanaoshiriki ...

Raia wakiwa wamepiga kambi katika eneo la ajali wakati zoezi la uokoaji likiendelea
25/04/2013 - Bangladeshi

idadi ya waliopoteza maisha katika ajali ya kuporomoka kwa jengo nchini Bangladeshi yafikia takriban 200

Maelfu ya Ndugu na jamaa ya Waathirika wa ajali ya kuanguka kwa jengo nchini Bangladesh waeshuhudia vikosi vya uokoaji vikiwatafuta wapendwa wao katika vifusi vya jengo hilo wakati huu ambapo ...

Close