Raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto wametajwa kuhusika katika vurugu za baada za uchaguzi katika ripoti iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na gamu inayochunguza ukiukwaji wa haki ...
Kocha wa timu ya taifa ya Uganda Milutin 'Micho' Sredojevic hatakuwa na muda wa mapumziko wakati huu ambapo anakabiliwa na kibarua kigumu cha kuandaa kikosi cha taifa kitakachoumana na kikosi cha ...
Jitihada za Vikosi vya uokoaji vinaendelea na kazi ya kusafisha mji wa Oklahoma nchini Marekani huku matumaini ya kuwapata watu wengine wakiwa hai yakitoweka kutokana na kukamilika kwa sehemu ...
Serikali ya Marekani imesisitiza kuwa ingali na ushirikiano wa karibu na mataifa yote ya bara Afrika ikiwemo Kenya, baada ya madai kuzuka kuwa Marekani huenda inajitenga na Kenya baada ya ...
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa UN, Ban Ki Moon amesisitiza kuharakishwa kwa operesheni ya kijeshi ya vikosi maalumu vya Umoja wa mataifa kukabiliana na uasi mashariki mwa jamuhuri ya demokrasia ...
Waziri mkuu wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema anavithibitisho kwamba majeshi ya serikali ya Syria yanatumia silaha zenye kemikali dhidi ya majeshi ya upinzani.
Nchi ya Mali imeomba kwa wafadhili wa kimataifa hususan umoja wa ulaya EU takribani yuro bilioni 2.6 kusaidia kujenga upya nchi na kujaribu kuzuia kurejea kwa wapiganaji waasi ambao walifukuzwa ...
Jeshi la Tanzania limeshatoa kikosi chake kinachoeleka Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC kwa lengo la kukabiliana na Makundi yanayomiliki silaha na kuchangia pakubwa kuzorotesha ...