Mapigano makali yazuka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC kati ya wapiganaji wa Kundi la Waasi la Mai Mai walipovamia Kambi ya Wanajeshi wa FARDC na kusababisha vifo vya watu 40, Mataifa ...
Jeshi la Polisi nchini Tanzania linawashikilia watuhumiwa kumi na wawili wanaotajwa kuhusika kutekeleza shambulizi la bomu katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi Parokia ya Olasiti ...
Mashindano ya Tennis ya Madrid Open yameendelea kuchanja mbuga na kushuhudia wakongwe kwenye mchezo huo wakizidi kuondolewa huku wengine wakisonga mbele kutinga hatua ya mzunguko wa nne.
Klabu ya Manchester United imefanikiwa kumtangaza mrithi wa Sir Alex Ferguson aliyetangaza kustaafu kazi ya kukinoa kikosi hicho mwishoni mwa msimu huu baada ya kufanya hivyo kwa kipindi cha miaka ...
Serikali ya Syria imetishia kujibu mara moja mashambulizi yote mapya ambayo yatafanywa na ndege za kijeshi za Israeli kauli inayokuja baada ya nchi hiyo kutekeleza mashambulizi mawili yaliyolenga ...
Serikali ya Awamu ya Nne nchini Kenya imeendelea kuandamwa na mzimu wa kesi ya inayowakabili Rais Uhuru Muigai Kenyatta na Naibu wake William Samoei Arap Ruto ambao sasa wanataka kesi dhidi yao ...
Idadi ya vifo vilivyosababishwa na kuanguka kwa jengo la ghorofa nane nchini Bangladesh vimefikia zaidi ya elfu moja huku Kikosi cha Uokoaji kikiendele kuondoa vifusi vilivyosalia kuangalia iwapo ...
Bunge nchini Zimbabwe limeidhinisha muswada wa katiba ambao ni sehemu ya upatikana wa katiba mpya nchini humo iliyopigiwa kura ya ndiyo na asilimia tisini ya wananchi wa Taifa hilo mapema mwezi ...
Marekani imeendelea kushikilia msimamo wake wa kutaka Rais wa Syria Bashar Al Assad aachie wadhifa wake kama sehemu ya kufikiwa suluhu ya kisiasa ya kumalizwa kwa mgogoro uliodumu kwa zaidi ya ...
Watu wenye silaha nchini Pakistan wamemtekanyara mtoto wa Waziri Mkuu wa zamani wa taifa hilo Yousuf Raza Gilani, Ali Haider Gilani katika siku ya mwisho ya kampeni kabla ya wananchi wa Taifa hilo ...