Syndicate content
Nurdin Selemani Ramadhani
Rais wa Kwanza Mzalendo nchini Afrika Kusini Nelson Mandela anayeendelea kupata matibabu akisumbuliwa na nimonia
03/04/2013 - AFRIKA KUSINI

Afya ya Rais wa Kwanza Mzalendo nchini Afrika Kusini Nelson Mandela yazidi kuimarika baada ya kuwa Hospital kwa siku 7

Serikali ya Afrika Kusini imetangaza hali ya afya ya Rais wa kwanza mzalendo Nelson Mandela maarufu kama Madiba inaendelea kuimarika baada ya kupatiwa matibabu kwa kipindi cha juma moja ...

Kiongozi wa Kundi la Waasi la LRA Joseph Kony anayesakwa na Majeshi ya Uganda
03/04/2013 - JAMHURI YA AFRIKA YA KATI-UGANDA

Uganda yasitisha kwa muda msako dhidi ya Kiongozi wa Kundi la Waasi la LRA Joseph Kony anayejificha Nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati

Serikali ya Uganda imetangaza kusitisha zoezi la kumsaka Kiongozi wa Kundi la Waasi la LRA Joseph Kony ambaye anatajwa kujificha nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati na kufanya mashambulizi katika ...

Wachezaji wa Real Madrid na wale wa Galatasaray kabla ya mchezo wao wa Robo Fainali wa Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya
03/04/2013 - UEFA-UHISPANIA

Michezo miwili ya Mkondo wa Kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya kupigwa nchini Uhispania

Michezo miwili ya mwisho ya mkondo wa kwanza wa hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya inatarajiwa kupigwa hii leo katika viwanja viwili tofauti ambapo Malaga FC watakuwa ...

Mshambuliaji wa Galatasaray Didier Drogba akiwa anawajibika uwanjani
03/04/2013 - UTURUKI-UINGEREZA-UHISPANIA

Mshambuliaji wa Galatasaray Didier Drogba anaamini Jose Mourinho atarejea Uingereza kukinoa Kikosi cha Chelsea

Mshambuliaji wa Kimataifa wa Cote D'Ivoire anayekipiga katika Klabu ya Galatasaray ya Uturuki Didier Drogba amesema anaamini Kocha wa Real Madrid Jose Mourinho huenda akarejea na kukinoa Kikosi ...

Mshambuliaji wa Bayern Munich Thomas Mueller akifunga goli la pili dhidi ya Juventus
03/04/2013 - EUFA-UJERUMANI-UFARANSA

Bayern Munich yaizima Juventus kwenye mkondo wa kwanza wa Robo Fainali huku Barcelona ikibanwa mbavu na PSG

Klabu ya Bayern Munich ya nchini Ujerumani imejiweka katika mazingira mazuri ya kutinga hatua ya Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya baada ya kufanikiwa kuchomoza na ushindi kwenye ...

Kizuizi kilichowekwa kuingia kwenye Ukanda nchini Korea Kaskazini kimewafanya wafanyakazi kutoka Korea Kusini kukwama nje
03/04/2013 - KOREA KASKAZINI-KOREA KUSINI-MAREKANI

Korea Kaskazini yawazuia wafanyakazi raia wa Korea Kusini kuingia kwenye Ukanda wa Viwanda unaomilikiwa kwa pamoja na pande hizo

Korea Kaskazini imewazuia wafanyakazi raia wa Korea Kusini kuweza kuingia kwenye Ukanda wa Viwanda ambao unamilikiwa kwa pamoja na pande hizo mbili mapema jumatano hatua inayoongeza hofu ya ...

Kiongozi aliyeomdolewa madarakani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati Francois Bozize akiwa Ikulu wakati wa utawala wake
03/04/2013 - JAMHURI YA AFRIKA YA KATI-CHAD-BENIN

Kiongozi aliyeangushwa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati Bozize aituhumu Chad kuusaidia Muungano wa Seleka kumng'oa madarakani

Kiongozi aliyeondoloewa madarakani kwa mapinduzi na kulazimika kukimbilia uhamishoni nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati Francois Bozize amewatuhumu jirani zao wa Chad kutokana na kuusaidia Muungano ...

Wagombea wa nafasi ya Urais nchini Venezuela Kaimu Rais Nicolas Maduro (Kushoto) na Kiongozi wa Upinzani Henrique Capriles (Kulia)
03/04/2013 - VENEZUELA

Kampeni za Uchaguzi wa Rais nchini Venezuela zaanza huku Wagombea wakiwa na siku 10 za kupita kwenye Majimbo 23

Kampeni za kuwania kurithi nafasi ya aliyekuwa Rais wa Venezuela Kamanda Hugo Chavez zimeanza rasmi huku Chama Tawala kikiahidi kitaendelea mapinduzi ambayo yaliasisiwa na Kiongozi wao ...

Mjumbe Maalum wa Umoja wa Mataifa UN Anayeshughulikia vitendo vya ubakaji na udhalilishaji wa kijinsia Zainab Hawa Bangura
03/04/2013 - JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA CONGO-UMOJA WA MATAIFA

Umoja wa Mataifa UN na Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC wasaini mkataba wa kukabiliana na vitendo vya ubakaji

Umoja wa Mataifa UN na Serikali ya Jamhuri ya Kidemokarsia ya Congo DRC wamesaini mkataba wenye lengo la kukabiliana na vitendo vya ubakaji na udhalilishaji wa kijinsia ambavyo vimekuwa ...

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa UN Ban Ki Moon amekiri kinachoendelea Korea Kaskazini ni hatari
02/04/2013 - KOREA KASKAZINI-KOREA KUSINI-UMOJA WA MATAIFA

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa UN Ban atishwa na hatua zinazochukuliwa na Korea Kaskazini kwa kufungua mtambo wake wa Nyuklia

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa UN Ban Ki Moon amekiri hali imezidi kuwa ya wasiwasi kwenye eneo la Peninsula na ameionya Serikali ya Korea Kaskazini kuachana na vitosho vyake juu ya utengenezaji ...

Close