Kwa Mara kwanza rais wa DRCongo Joseph Kabila Kabange ameishutumu wazi serikali ya Rwanda kuwafadhili waasi wa kundi la M23 wanaopambana na majeshi ya FRDC.
Viongozi wa AU wakutana jijini Addis Abeba nchini Ethiopia kujadili maswala ya mzozo wa Mali, DRCongo lakini pia wamchaguwa bibi Kosazane Dlamine Zuma kuchukuwa nafadi ya Jean Ping
Hatimaye Prosefa Omar aokolewa,watekaji nyara watiwa nguvuni na Kwame apongezwa na kila mtu kwa ushujaa wake wa kufatilia hadi kufanikisha Profesa Omar anapatikana.
Kwame na polisi wanakubaliana kumtanguliza Kwame mahali aliposhikiliwa Profesa Omar ili kuhakikisha usalama wake kabla ya kumuokoa na kuwatia nguvuni watekaji nyara...