Serikali ya mauritania imetoa hati ya kimataifa ya kukamatwa kwa mpinzani wa rais Mohamed Ould Abdel Aziz, Moustapha Ould Limam Chavi kwa tuhuma za kushirikiana na kundi la kigaidi duniani la ...
Wagombea urais nchini Senegal wametoa wito kwa vyombo vya usalama na wananchi kuwa watulivu wakati huu ambapo nchi hiyo inatarajiwa kufanya uchaguzi mkuu ndani ya miezi miwili ijayo.
Mahakama kuu nchini Nigeria imetupilia mbali madai dhidi ya ushindi wa rais Goodluck Jonathan katika uchaguzi wa mwezi April mwaka huu unaodaiwa kuwa na dosari na kutaka urudiwe.
Licha ya wajumbe wa baraza la Umoja wa mataifa kupitisha na kupunguza bajeti ya Umoja huo kwa asilimia tano, katibu mkuu Ban Ki Moon ameendelea kusisitiza kuwa licha ya bajeti ndogo iliyopitishwa ...
Kumezuka hali ya wasiwasi nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya kongo katika mji wa Walikale katika mkoa wa Kivu kaskazini kufuatia kuripotiwa kwa mapigano kati ya wapiganaji wa Mai Mai wanaopigana na ...
Maelfu ya wananchi wa korea Kaskazini hivi sasa wanshuhudia mazishi ya kiongozi wa tifa hilo Kim Jong Ill ambaye mwili wake utahifadhiwa katika jumba la kumbukumbu la nchi hiyo mjini Pyongyang.
Rais wa Afghanistani Harmid Karzai amesema kuwa anakaribisha mazungumzo kati ya serikali yake na viongozi wa kundi la wanamgambo wa Taliban katika kujaribu kusaka suluhu ya kudumu nchini humo, ...
Kesi ya mauaji na matumizi mabaya ya madaraka inayomkabili rais wa zamani wa Misri Hosni Mubarak inatarajiwa kuanza kusikilizwa hii leo baada ya kuahirishwa kwa kipindi cha miezi mitatu.
Zaidi ya wananchi mia nne toka mji wa Casamance kusini mwa nchi ya Senegeal wameandamana kushinikiza serikali kupeleka vikosi vya jeshi katika eneo hilo kukabiliana na waasi ambao wamekuwa ...
Ujumbe maalumu wa wataalamu wa masuala ya kura toka nchini Marekani wanatarajiwa kuwasili nchini jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo DRC mnamo mwezi ujao kwa lengo la kuishauri tume ya uchaguzi ...