Waasi 15 wa M23 na wanajeshi wanne wa serikali ya DRC FARDC wameuwawa kufuatia mapigano mapya yaliyoibuka tena leo Jumanne huko Mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo vyanzo vya ...
Askari 11 wa Afghanistani wameuwawa Magharibi mwa Afghanistan baada ya bomu lililokuwa limetegwa kando ya barabara kulipuka leo Jumanne pamoja na mapigano Kusini mwa eneo hilo tete maafisa ...
Askari wa Israel wanaofanya doria kwenye eneo lenye mgogoro la milima ya Golani mpakani na Syria wamefanya mashambulizi ya malipizi baada ya kushambuliwa usiku wa manane,Taarifa ya vikosi vya ...
Kimbunga kikubwa cha Tornado kimeukumba mji wa Oklahoma mapema leo Jumatatu na kubomoa vitalu vya nyumba, shule mbili na kuua takribani watu 91 ikiwa ni pamoja na watoto 20, viongozi wa mitaa ...
Mawaziri wakuu wa India na China wameapa kutatua mgogoro wa mpaka ambao umechachusha mahusiano baina ya nchi hizo mbili kwa miongo kadhaa, wakisema kuwa mahusiano mazuri kati ya mataifa hayo ...
Waasi wa Syria wapatao 56 wameuwawa usiku wa kuamkia leo baada ya jeshi la serikali kutekeleza mashambulizi zaidi ya anga kwenye ngome kuu ya wapiganaji wa Syria mjini Qusary, siku moja toka rais ...
Watu sitini wamejeruhiwa watano kati yao wanahalimbaya baada ya treni za abiria kugongana katika kitongoji cha Kaskazini mwa jiji la New York nchini Marekani.
Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki Moon na Urusi zimekubaliana kwamba mkutano wa amani kuhusu Syria lazima ufanyike haraka iwezekanavyo hata kama Urusi inapinga shinikizo la dunia kwamba ...
Rais wa Ufaransa Francois Hollande ametaka mataifa ya Ulaya kuhakikisha yanasimama kidete kumaliza tatizo la ajira ambalo limezikumba nchi hizo sambamba na kuangalia hatua za kuimarisha uchumi wa ...
Rais wa Marekani Barack Obama amewahimiza wabunge wa Congress kuongeza bajeti itakayowezesha kuimarisha usalama katika balozi zake Indianian kote ikiwa ni ishara ya kuwakumbuka raia wanne wa nchi ...
Kundi la kwanza la wanajeshi 100 toka nchini Tanzania limewasili jumamosi hii katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC katika mpango wa amani wa Umoja wa Mataifa UN wa ...
Waziri mkuu wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema anavithibitisho kwamba majeshi ya serikali ya Syria yanatumia silaha zenye kemikali dhidi ya majeshi ya upinzani.
Nchi ya Mali imeomba kwa wafadhili wa kimataifa hususan umoja wa ulaya EU takribani yuro bilioni 2.6 kusaidia kujenga upya nchi na kujaribu kuzuia kurejea kwa wapiganaji waasi ambao walifukuzwa ...
Serikali ya Syria imetishia kujibu mara moja mashambulizi yote mapya ambayo yatafanywa na ndege za kijeshi za Israeli kauli inayokuja baada ya nchi hiyo kutekeleza mashambulizi mawili yaliyolenga ...
Serikali ya Awamu ya Nne nchini Kenya imeendelea kuandamwa na mzimu wa kesi ya inayowakabili Rais Uhuru Muigai Kenyatta na Naibu wake William Samoei Arap Ruto ambao sasa wanataka kesi dhidi yao ...
Idadi ya vifo vilivyosababishwa na kuanguka kwa jengo la ghorofa nane nchini Bangladesh vimefikia zaidi ya elfu moja huku Kikosi cha Uokoaji kikiendele kuondoa vifusi vilivyosalia kuangalia iwapo ...
Bunge nchini Zimbabwe limeidhinisha muswada wa katiba ambao ni sehemu ya upatikana wa katiba mpya nchini humo iliyopigiwa kura ya ndiyo na asilimia tisini ya wananchi wa Taifa hilo mapema mwezi ...
Marekani imeendelea kushikilia msimamo wake wa kutaka Rais wa Syria Bashar Al Assad aachie wadhifa wake kama sehemu ya kufikiwa suluhu ya kisiasa ya kumalizwa kwa mgogoro uliodumu kwa zaidi ya ...
Watu wenye silaha nchini Pakistan wamemtekanyara mtoto wa Waziri Mkuu wa zamani wa taifa hilo Yousuf Raza Gilani, Ali Haider Gilani katika siku ya mwisho ya kampeni kabla ya wananchi wa Taifa hilo ...
Kikosi cha kwanza cha Wanajeshi wa Tanzania kinachoenda Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC kulinda amani na kukabiliana na Makundi ya Waasi kinaondoka siku ya alhamisi kikiwa na ...