Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Miaka 25 tangia mkataba juu ya haki ya mtoto kupitishwa na Umoja wa Mataifa.

Imechapishwa:

Miaka 25 tangia mkataba wa haki ya mtoto kupitishwa na Umoja wa Mataifa lakini bado haki ya mtoto ni tete, hasa kwenye nchi zinazoendelea hususan barani Afrika. Bofya hapa chini utembelee tovuti ya maadhimisho ya miaka 25 ya mkataba huo kwa lugha ya Kiingereza huku ukiendela kusikiliza mada ya wiki hii:UNICEF.

Des écoliers, dans une salle de classe au Bénin.
Des écoliers, dans une salle de classe au Bénin. unicef.org
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.