Serikali ya Kenya imesema haina kinyongo na rais wa Marekani Barak Obama ambaye anatarajia kuzuru mataifa ya Afrika mwezi ujao huku akiiondoa Kenya miongoni mwa nchi atakazo zitembelea, na ...
Ripoti ya Umoja wa Mataifa imearifu kwamba kundi la waasi la Lord Resistence Army (LRA) linaloongozwa na Joseph Kony anayetafutwa kwa udi na uvumba na mahakama ya kimataIfa ya uhalifu wa kivita ya ...
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametoa onyo kali kwa wanaohujumu usalama katika taifa hilo ambalo limeshuhudia utovu wa usalama kwa siku za hivi karibuni, ambapo watu kadhaa wamepoteza maisha yao.
Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki Moon amemteua waziri wa zamani wa Kenya na mbunge Mukhisa Kituyi kuongoza taasisi ya biashara na maendeleo ya umoja huo UNCTAD wakati mkuu wa taasisi hiyo ...
Mkutano wa saba wa Jumuiya ya Madola unaoendelea huko kampala nchini Uganda umeazimia kufanya kila linalowezekana kumaliza umasikini kwa mataifa wanachama.
Jeshi la polisi nchini Kenya limekanusha madai kuwa wameshindwa kudhibiti hali ya usalama katika taifa hilo, haswa baada ya kutokea kwa visa vya utovu wa usalama katika kaunti za Bungoma na ...
Watu sita wamepoteza maisha na zaidi ya thelathini wamejeruhiwa baada ya jengo kuporomoka Kaskazini Mashariki mwa Rwanda huku zoezi la uokozi likitamatishwa hii leo siku moja baada ya tukio ...
Bunge nchini Kenya limeidhinisha majina kumi na sita ya wateule wa nafasi ya uwaziri walioteuliwa na rais Uhuru Kenyatta na Naibu wake William Ruto na wanatarajiwa kuapishwa baadaye leo kuanza ...
Serikali ya Awamu ya Nne nchini Kenya imeendelea kuandamwa na mzimu wa kesi ya inayowakabili Rais Uhuru Muigai Kenyatta na Naibu wake William Samoei Arap Ruto ambao sasa wanataka kesi dhidi yao ...
Kikosi cha kwanza cha Wanajeshi wa Tanzania kinachoenda Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC kulinda amani na kukabiliana na Makundi ya Waasi kinaondoka siku ya alhamisi kikiwa na ...