Zanzibar-Tanzania - 
Makala iliyochapishwa tarehe : Jumatano 08 februari 2012 - Taarifa za ivi karibuni : Thursday 09 februari 2012

Bei ya vyakula kupanda katika mkesha wa tamasha la Sauti Za Busara

Selemani Mfanya biashara katika Soko La Darajani zanzibar (a.k.a.) kuumaliketi)akizugumzia ju ya kupanda kwa Bei ya vyakula
Selemani Mfanya biashara katika Soko La Darajani zanzibar (a.k.a.) kuumaliketi)akizugumzia ju ya kupanda kwa Bei ya vyakula
RFI/EBBY

Wakazi wa mjii mkongwe wa Zanzibar wamelalamikia kupanda kwa bei ya vyakula visiwani humo wakati hali ya kipato ikizidi kushuka chini katika msimu huu wa Tamasha la Sauti Za Busara.

RIPOTI YA EBBY KUTOKA ZNZ
 

09/02/2012

tags: Sauti za Busara - Zanzibar
MAELEZO
Tuma maoni yako kwa makala haya
Maudhui ya eneo hili yatakuwa ya kibinafsi na kuto kuonyeshwa kwa watu wote.
To prevent automated spam submissions leave this field empty.
CAPTCHA
Swali hili ni kwa ajili ya kupima kama wewe si roboti ili kuzuia spam ya papo kwa papo.
Close