Pata taarifa kuu
Zanzibar-Tanzania

Sauti za Busara yakuza utalii Zanzibar

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imekiri Tamasha la Sauri Za Busara ambalo limekuwa likifanyika kila mwaka visiwani humo limekuwa chanzo kizuri cha kutangaza na hata kukuza utalii wake.

Nembo ya Tamasha la Sauti za Busara
Nembo ya Tamasha la Sauti za Busara
Matangazo ya kibiashara

Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Abdallah Jidah Hassan amesema ujio wa wageni kushuhudia Tamasha hilo umekuwa pia ukichangia kuimarisha mahusiano mema na jamii nyingine.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.