Zanzibar-Tanzania -
Makala iliyochapishwa tarehe : Ijumaa 10 februari 2012 -
Taarifa za ivi karibuni : Ijumaa 10 februari 2012
Ajira huongezeka kila linapo fanyika tamasha la Sauti za Busara

Mkurugenzi wa Tamasha la Sauti za Busara Yuduf Mahmoud
busaramusic
Mkurugenzi wa Tamasha la Sauti za busara Yusuf Mahmoud amesema kila linapofanyika tamasha hilo visiwani Zanziabar kumekuwa kukiongezeka ajira kwa wananchi na kuchangia kupunguza umaskini. Mkurufgenzi Mahmoud amesema kuwa Tamasha la Sauti za Busara licha ya kuongeza ajira lakinni vijana wamekuwa wakiongeza pato lao binafsi ba hata kwa wasanii wa hapa nyumbani ambao wanashiriki.
m











MAELEZO
Tuma maoni yako kwa makala haya