Jumanne 06 machi 2012
Nini suluhu ya mgogoro wa Syria?
Na Victor Melkizedeck Abuso

Ni karibu mwaka sasa tangu maandamano ya wapinzani nchini Syria yalipoanza dhidi ya serikali ya rais Bashar Al Asaad.

Umoja wa mataifa unasema kati ya waandamanaji elfu nane na elfu kumi na moja wameuawa baada ya kushambuliwa na majeshi ya serikali.

Jumuioya ya kimataifa bado haijapata suluhu Victor Abuso anaagazia zaidi katika habari rafiki.

MAELEZO
Tuma maoni yako kwa makala haya
To prevent automated spam submissions leave this field empty.
CAPTCHA
Swali hili ni kwa ajili ya kupima kama wewe si roboti ili kuzuia spam ya papo kwa papo.
Close