Jumanne 03 aprili 2012
Siku ya TB duniani

Wananchi wa Tanzania wakiandamana siku ya TB duniani
Sehemu ya kwanza ya makala ya Jua Haki Zako Mwezi huu wa Nne, tukijadili kwenye studio zetu za Idhaa ya Kiswahili ya Radio France Internationale, na mwanaharakati na mtunzi wa blog, No One Left Behind: Hakuna Mtu anayeachwa nyuma inayogusia masuala ya kijamii, kisiasa na hata kiuchumi, Ashura Kayupakayupa, sikiliza makala haya, habarika na uelimike.







MAELEZO
Tuma maoni yako kwa makala haya