Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Uganda Yaadhimisha Miaka 52 ya Uhuru

Imechapishwa:

Uganda inaadhimisha miaka 52 ya uhuru wake tangu kumalizika kwa ukoloni wa Uingereza.Maadhimisho hayo yameongozwa hii leo na rais Yoweri Museveni.Kipindi cha Habari Rafiki kinangazia  juu ya changamoto na mafanikio ambayo Uganda imepata katika sekta mbali mbali nchini humo wakati ikiwa inadhimisha Miaka ya 52 ya uhuru wa Nchi hiyo

Vipindi vingine
  • 09:48
  • 09:57
  • 09:31
  • 10:08
  • 09:31
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.