Gurudumu la Uchumi

 
Emmanuel Makundi, Mtangazaji na mtayarishaji wa makala ya Gurudumu la Uchumi
Emmanuel Makundi, Mtangazaji na mtayarishaji wa makala ya Gurudumu la Uchumi
RFI/Emmanuel Makundi

Fahamu masuala kadha wa kadha kuhusu uchumi kama vile, namna ya kupambana na umaskini, mfumuko wa bei, kushamiri kwa matumizi ya dola na athari za kuyumba kwa uchumi wa dunia kwa nchi za Afrika. Mada hizi zinafanyiwa utafiti wa kina na zinazungumzwa kwa lugha rahisi inayoeleweka ili kukufanya uelewe na usichoke kusikiliza .

Habari zaidi

MATANGAZO YA MWISHO : Jumatano 08 mei 2013
Wiki ya Umoja wa Ulaya EU iliyokwenda sambamba na kuzinduliwa kwa Mradi wa kuwasaidia Wanawake kutambua haki zao za kijamii na kiuchumi

Wiki ya Umoja wa Ulaya EU iliyokwenda sambamba na kuzinduliwa kwa Mradi wa kuwasaidia Wanawake kutambua haki zao za kijamii na kiuchumi

Umoja wa Ulaya EU umefadhili mradi wa kuwasaidia wanawake kutambua haki zao za kijamii na kiuchumi kwa euro bilioni 3 huku suala kubwa ambalo wanalipa kipaumbele ni kuhakikisha wanawake wanapata ...

Nyaraka

Jumatano 01 mei 2013

Viongozi Afrika Mashariki wajipanga kuanza kwa sarafu ya pamoja

Viongozi wa nchi za Afrika Mashariki walikutana hivi karibuni mjini Arusha nchini Tanzania  ambapo pamoja na mambo mengine waliamua kufanya utekelezaji wa azimio la kuwa na sarafu moja kabla ...

Jumatano 24 aprili 2013
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mizengo Kayanza Peter Pinda

Bajeti

Huu ni mwendelezo wa Makala ya juma lililopita kuangazia kile ambacho kiliwasilishwa Bungeni na Waziri Mkuu wa Tanzania, Mheshimiwa Mizengo Kayanza Peter Pinda alipokuwa akiwasilisha bajeti ya ...

Jumatano 17 aprili 2013

Tanzania yasema imekua kiuchumi

Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda amesema nchi hiyo  imekuwa kiuchumi katika siku za hivi karibuni.

MPANGO WA MAKALA
Close