Makala yanayochambua masuala na matukio mbalimbali yaliyotokea kwenye jamii kwa wiki nzima kwa kina, yanatoa fursa kwa msikilizaji kueleza hisia na mtazamo wake juu ya masuala yanayoendelea kutokea iwe ni katika uga wa uchumi na siasa duniani kote.
Waasi wa M23 wa Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC wameanza kudhoofika baada ya Maafisa wao wa Ngazi ya juu ya Kijeshi kutangaza kuasi na kujisalimisha kwenye Makao Makuu ya Vikosi vya ...
Majina ya Mawaziri Wateule kumi na sita watakaounda Baraza la Mawaziri lenye Mawaziri kumi na wanane nchini Kenya yametangazwa huku mjadala ukizuka kutokana na kutajwa kwa wanasiasa wawili wa ...
Wabunge nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC juma hili walioneshwa kutokuwa na imani na serikali ya Rais Joseph Kabila wa Kabange na hivyo wakafikisha hoja ya kupiga kura ya kutokuwa na ...
Uhuru Muigai Kenyatta aapishwa kushikwa wadhifa wa Urais wa nne katika Jamhuri ya Kenya pamoja na Naibu Rais William Samoei Arap Ruto katika sherehe ambazo zimehudhuriwa na Marais kumi kutoka nchi ...
Kundi la Waasi la M23 la Nchini DRC lapata pigo baada ya Maafisa wake wa Kijeshi kuasi huku Msuluhishi wa Mgogoro wa Syria Lakhdar Brahimi akitangaza kubwaga manyanga
Waasi wa M23 wa Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC wameanza kudhoofika baada ya Maafisa wao wa Ngazi ya juu ya Kijeshi kutangaza kuasi na kujisalimisha kwenye Makao Makuu ya Vikosi vya ...