Nyumba ya Sanaa

 
Nyumba ya Sanaa
Nyumba ya Sanaa

Nyumba ya Sanaa ni Makala ya  Utamaduni ambayo inatoa fursa  kwa wasanii  na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.

Habari zaidi

MATANGAZO YA MWISHO : Jumamosi 15 juni 2013

Leonce Ngabo msanii na mwandaaji wa matamasha ya sanaa nchini Burundi

Katika makala haya utafahamu mengi kutoka kwa msanii Leonce Ngabo msanii na mtayarishaji wa matamasha mbalimbali ya sanaa nchini Burundi, Edmond Lwangi Tcheli anakuunganisha naye, Karibu.

Nyaraka

Jumamosi 08 juni 2013

Muziki wa Injili na Julius Owino Julian

Karibu katika makala hii ya Nyumba ya Sanaa na hii leo utasikia mambo mbalimbali yahusuyo muziki wa Injili, Ungana naye Edomond Lwangi Tcheli katika makala haya ambaye anazungumza na Julius Owino ...

Jumamosi 01 juni 2013
Msanii wa Muziki wa Hip Hop nchini Tanzania Albert Mangweha afia Afrika Kusini.

Wasanii Tanzania waomboleza msiba wa mwana hip hop Albert Mangweha

Makala ya Nyumba ya sanaa imejikita katika msiba wa msanii wa miondoko ya  Hip HOP jijini Dar es Salaam nchini Tanzania Albert Mangweha aliyefariki ghafla nchini Afrika ya Kusini mwishoni mwa ...

Jumamosi 25 mei 2013

Msanii anayefanya vizuri katika anga la muziki Afrika mashariki,Bernard Nganga Lito

Msanii Nganga Lito leo ndani ya Nyumba ya sanaa akielezea mambo mbalimbali kuhusu mziki wake.Pata fursa ya kipekee kujua mengi kuhusu malengo na harakati zake kimuziki.

MPANGO WA MAKALA
Close