Siha Njema

 
Ebby Shaban Abdalah mtangazaji wa makala ya Siha Njema
Ebby Shaban Abdalah mtangazaji wa makala ya Siha Njema
RFI kiswahili

Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.

Habari zaidi

MATANGAZO YA MWISHO : Jumanne 07 mei 2013

Tafiti zinavyochangia mapambano ya kutokomeza Ugonjwa wa Malaria nchini Tanzania

Ugonjwa wa malaria umeendelea kuwa gonjwa linalogharimu maisha ya watu wengi zaidi kwa mataifa yaliyopo Kusini mwa Jangwa la Sahara kipindi hiki ambacho watafiti wanaendelea kusaka dawa ambazo ...

Nyaraka

Jumanne 26 februari 2013
Mazoezi ni muhimu kwa ajili ya kuboresha Afya ya binaadamu

Tiba

Mazoezi ya viungo vya mwili ni miongoni mwa tiba ambayo imekuwa ikiwasaidia wagonjwa wengi katika jamii zetu ,hasa wale wanaosumbuliwa na maradhi kama vile wagonjwa walio pooza,mtindio wa ubongo ...

Jumanne 19 februari 2013
Dawa za Kulevya aina ya Heroine ambazo zimekamatwa na Jeshi la Polisi nchini Tanzania

Matumizi ya Dawa za Kulevya imekuwa chanzo cha ongezeko la magonjwa ya akili, ukimwi na hata vifo

Matumizi ya Dawa za Kulevya yameendelea kuwa chanzo cha kutokea kwa magonjwa ya akili, ongezeko la waathirika wa ukimwi na hata vifo.

Jumanne 12 februari 2013

Utumizi wa dawa za kulevya jijini Dar es salaam Tanzania

Utumiaji wa dawa za kulevya nchini Tanzania hasa katika jiji la Dar es salaam hasa kwa vijana unazidi kuongezeka siku baada ya siku.

MPANGO WA MAKALA
Close