Siha Njema

 
Ebby Shaban Abdalah mtangazaji wa makala ya Siha Njema
Ebby Shaban Abdalah mtangazaji wa makala ya Siha Njema
RFI kiswahili

Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.

Habari zaidi

MATANGAZO YA MWISHO : Jumanne 07 mei 2013

Tafiti zinavyochangia mapambano ya kutokomeza Ugonjwa wa Malaria nchini Tanzania

Ugonjwa wa malaria umeendelea kuwa gonjwa linalogharimu maisha ya watu wengi zaidi kwa mataifa yaliyopo Kusini mwa Jangwa la Sahara kipindi hiki ambacho watafiti wanaendelea kusaka dawa ambazo ...

Nyaraka

Jumanne 15 januari 2013

Tatizo la kuharibika kwa mimba linavyoathiri akina mama

Tatizo la kuharibika kwa mimba bado ni tatizo linaloathiri akina mama na hata kusababisha vifo huku jitihada mbalimbali zikifanyika ili kukabiliana tatizo hilo.

Jumanne 01 januari 2013

Chanzo na madhara ya Ugonjwa wa Bawasili na namna ya kukabiliana nao katika jamii

Makala haya yanaangalia ugonjwa wa Bawasili ambao umekuwa ukiwakumbwa watu wengi kwenye jamii na wengi wao wanashindwa kupata tiba kutokana na kushindwa kuufahamu ugonjwa wenyewe kwa wakati!!

Jumanne 25 desemba 2012

Mapitio maalum ya makala za mwaka 2012

Tukiwa tunaelekea ukingoni mwa mwaka 2012, makala ya Siha Njema inakuletea mapitio maalumu ya makala za Siha Njema zilizokujia kupitia rfi kiswahili kwa mwaka huu.

MPANGO WA MAKALA
Close