Waziri wa mambo ya kigeni wa Uingereza,William Hague
SYRIA-URUSI-UINGEREZA

Uingereza yasisitiza suluhu ya mzozo Syria ni Assad kuondoka madarakani

 

Waziri wa mambo ya kigeni wa Uingereza William Hague amesema kuwa suluhu pekee ya mzozo wa syria ni raisi Assad kujiondoa madarakani.Kiongozi huyo amesema hayo wakati huu kuelekea mjadala wa kimataifa unaohusu jitihada za kuleta amani ya Syria.

Syndicate contentMichezo
Mcheza Tennis Bingwa nambari mbili duniani Andy Murray,majeraha yamuweka nje ya French Open safari hii
22/05/2013 - michezo

Andy Murray amejiondoa katika mchuano wa French Open kutokana na majeraha mgongoni kumlazimu kufanya hivyo akiwa Italia Juma lililopita.

Martin  Mutumba mshambuliaji wa pembeni anayechezea klabu ya AIK Stockhom ya nchini Sweden amerejea kikosini.
22/05/2013 - Michezo

Kocha wa timu ya taifa ya Uganda Milutin 'Micho' Sredojevic hatakuwa na muda wa mapumziko wakati huu ambapo anakabiliwa na kibarua kigumu cha kuandaa kikosi cha taifa kitakachoumana na kikosi cha ...

Marion Bartoli mchezaji aliyeondolewa katika mzunguko wa kwanza wa Strasbourg
21/05/2013 - Ufaransa

Mchezaji namba moja Marion Bartoli na namba mbili Tamira Paskez katika mchezo wa tenisi  wameondolewa katika mzunguko wa kwanza wa mashindano ya Kimataifa ya Strasbourg nchini Ufaransa leo ...

Katibu mkuu wa CECAFA Nicolas Musonye
21/05/2013 - SOKA

Mabingwa watetezi wa taji la Kagame katika kanda ya Afrika Mashariki na Kati CECAFA Yanga ya Tanzania imejumuishwa katika kundi la tatu pamoja na Express ya Uganda,Ports ya Djibouti na Vitalo la ...

Kocha wa Togo Didier Six
21/05/2013 - TOGO

Kocha wa Togo Didier Six ametoa siku nane kwa shirikisho la soka nchini humo kumrejeshea gharama za usafiri zenye thamani ya Euro laki moja la sivyo atajiuzulu nafasi hiyo.

 

Syndicate contentHabari RFI-Ki
Syndicate contentSauti za Busara

Close