Kauli ya urusi kuwa serikali ya rais Bashar ala Assad imekubali kuhudhuria mkutano wa amani wa kimataifa juu ya mgogoro wa Syria imeweka maswali na wasiwasi miongoni mwa wapinzani waliogawanyika ...
Upinzani nchini Syria umeitaka serikali ya raisi Assad kutangaza kama itahudhuria mkutano wa kimataifa wa kuisaka suluhu baada ya Urusi kudai serilaki hiyo imekubali kwa masharti kuhudhuria ...
Waziri wa mambo ya kigeni wa Uingereza William Hague amesema kuwa suala la amani kati ya israel na palestina linapewa kipaumbele wakati huu ambapo a,ekutana na waziri mkuu wa Israel Benjamin ...
Mataifa ya magharibi yamemtaka rais wa Syria Bashar al-Asad kuhakikisha anashiriki kwenye suluhu ya kupata amani nchini humo na kuonya kuwa iwapo atashindwa kuzungumza kuhusu kuundwa kwa serikali ...
Askari wa Israel wanaofanya doria kwenye eneo lenye mgogoro la milima ya Golani mpakani na Syria wamefanya mashambulizi ya malipizi baada ya kushambuliwa usiku wa manane,Taarifa ya vikosi vya ...
Waasi wa Syria wapatao 56 wameuwawa usiku wa kuamkia leo baada ya jeshi la serikali kutekeleza mashambulizi zaidi ya anga kwenye ngome kuu ya wapiganaji wa Syria mjini Qusary, siku moja toka rais ...
Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki Moon na Urusi zimekubaliana kwamba mkutano wa amani kuhusu Syria lazima ufanyike haraka iwezekanavyo hata kama Urusi inapinga shinikizo la dunia kwamba ...
Shambulizi la bomu lililokuwa limetegwa ndani ya gari limesababisha vifo vya watu 14 wakiwemo wanajeshi sita wa umoja wa kujihami wa nchi za Magharibi NATO mjini Kabul nchini Afghanistan.
Watu zaidi ya thelathini na watano wameuawa huku wengine zaidi ya mia moja wakijeruhiwa kufuatia mfululizo wa mashambulizi ya mabomu yaliyowalenga watu wa jamii ya kishia katika mji mkuu wa Iraq, ...
Makombora mawili yaliyorushwa kutoka Syria yameanguka katika eneo la mlima Hermon nchini Israel leo Jumatano tukio ambalo hata hivyo halijasababisha madhara yoyote msemaji wa jeshi amearifu.
Rais wa Urusi Vladimir Putin na waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu wamejadili mzozo wa Syria leo Jumanne huku wasiwasi ukiongezeka kuhusu Urusi kupeleka silaha katika serikali ya Damascus na ...
Marekani na Uingereza wameendeleza shinikizo kwa Urusi ili iweze kushirikiana nao katika kuhakikisha wanapata suluhu ya mgogoro wa Syria huku msimamo wa mataifa hayo ukiwa wazi kwamba ni lazima ...
Waziri mkuu wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema anavithibitisho kwamba majeshi ya serikali ya Syria yanatumia silaha zenye kemikali dhidi ya majeshi ya upinzani.
Serikali ya Syria imetishia kujibu mara moja mashambulizi yote mapya ambayo yatafanywa na ndege za kijeshi za Israeli kauli inayokuja baada ya nchi hiyo kutekeleza mashambulizi mawili yaliyolenga ...
Marekani imeendelea kushikilia msimamo wake wa kutaka Rais wa Syria Bashar Al Assad aachie wadhifa wake kama sehemu ya kufikiwa suluhu ya kisiasa ya kumalizwa kwa mgogoro uliodumu kwa zaidi ya ...
Serikali ya Marekani imesisitiza itaendelea na juhudi zake za kuhakikisha umwagaji wa damu nchini Syria unakomeshwa huku pia ikifufua mazungumzo ya kusaka amani ya Mashariki ya Kati baina ya ...
Mpatanishi wa Mgogoro wa Syria anayetambuliwa na Umoja wa Mataifa UN na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu Lakhdar Brahimi amepokea kwa mikono mawili makubaliano yaliyofikiwa baina ya Marekani na Urusi ya ...
Timu ya Uchunguzi ya Umoja wa Mataifa UN imekanusha haina ushahidi unoanonesha Waasi na Wapinzani nchini Syria wanatumia silaha za kemikali aina ya sarin kama ambavyo imeelezwa jana na Mjumbe wa ...
Tume ya Uchunguzi ya Umoja wa Mataifa UN imebaini wapiganaji wa Upinzani nchini Syria ndiyo wanatumia silaha za kemikali kwenye vita vyao dhidi ya Serikali ya Rais Bashar Al Assad kulingana na ...