Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Droo ya michuano ya soka ya UEFA na Mbio za London Marathon

Imechapishwa:

Mabingwa watetezi wa mchezo wa soka wa klabu bingwa barani Ulaya Bayern Munich, Chelsea, Real Madrid na  Atletico Madrid zimefuzu katika hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo.Tunathathmini pia mbio za riadha za London Marathon pamoja na timu ya taifa ya soka ya  watoto wa mitaani nchini Tanzania kunyakua kombe la dunia.

UEFA
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.