Pata taarifa kuu
NIGERIA-SOKA

Meneja wa timu ya taifa ya Nigeria afutwa kazi

Shirikisho la soka nchini Nigeria limemfuta kazi kocha wa timu ya taifa Stephen Keshi na nafasi yake kuchukuliwa na Shaibu Amodu.

Stephen Keshi kocha wa timu ya taifa ya soka ya Nigeria, ambaye amefutwa kazi.
Stephen Keshi kocha wa timu ya taifa ya soka ya Nigeria, ambaye amefutwa kazi. REUTERS/Siphiwe Sibeko
Matangazo ya kibiashara

Hataua hii inakuja wiki mbili baada ya NFF kuanza kuchunguza madai kuwa Keshi alikuwa ameomba kazi ya kuifunza timu ya taifa ya Cote d'Ivoire.

Keshi alinukuliwa kuwa wakala ambaye hajafahamika aliwasilisha jina lale katika Shirikisho la soka nchini Cote d'Ivoire bila ya yeye kufahamu.

NFF, imesema Keshi amekeuka mkataba wa ajira na hakuna kinachosalia bali kumfuta kazi Keshi.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.