Habari RFI-Ki

 

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

Habari zaidi

MATANGAZO YA MWISHO : Jumanne 14 mei 2013
Nguruwe wazua kizaa zaa jijini Nairobi

Nguruwe wazua kizaa zaa jijini Nairobi

Katika makala haya leo tunakuletea kisa cha wanaharakati wa masuala ya kijamii kupeleka nguruwe nje ya bunge la Kenya wakiwafananisha wabunge na wanyama hao wala hovyo kufuatia  hatua ya ...

Nyaraka

Ijumaa 10 mei 2013
Wanafunzi wa Chuo Kikuu hili ni moja ya Kundi lililoathiriwa na ongezeko la maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi kutokana na kufanya mapenzi bila ya kinga

Maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi VVU yameendelea kukua siku hadi siku kwa wanafunzi wa shule za msingi hadi vyuo vikuu

Wanafunzi kuazia Shule za msingi hadi Vyuo Vikuu katika Ukanda wa Afrika Mashariki wameendelea kuwa katika hatari kubwa wa kuambukizwa Virusi Vya Ukimwi na hili linatokana na wanafunzi hawa ...

Thursday 09 mei 2013
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhi bendera kwa Kiongozi wa Msafara wa Kikosi kinachoenda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Jeshi la Tanzania laelekea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC kwa ajili ya kukabiliana na makundi yanayozorotesha usalama nchini humo

Jeshi la Tanzania limeshatoa kikosi chake kinachoeleka Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC kwa lengo la kukabiliana na Makundi yanayomiliki silaha na kuchangia pakubwa kuzorotesha ...

Jumatano 08 mei 2013
Watoto wanaoishi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC ndiyo wanakabiliwa na hatari kubwa ya kuishi

Utafiti waonesha nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC ni sehemu hatari zaidi kwa wanawake kulea watoto zao

Utafiti uliofanywa na Shirika la Save The Children unaonesha kuwa nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC ndiyo sehemu hatari zaidi Duniani kwa wanawake kuishia na kuweza kulea watoto zao!!

MPANGO WA MAKALA
Close