Habari RFI-Ki

 

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

Habari zaidi

MATANGAZO YA MWISHO : Jumanne 14 mei 2013

Nguruwe wazua kizaa zaa jijini Nairobi

Katika makala haya leo tunakuletea kisa cha wanaharakati wa masuala ya kijamii kupeleka nguruwe nje ya bunge la Kenya wakiwafananisha wabunge na wanyama hao wala hovyo kufuatia  hatua ya ...

Nyaraka

Jumatatu 22 aprili 2013

Muswada wa sheria ya uandishi wa habari nchini Burundi

Habari Rafiki hii leo inaangazia muswada wa sheria mpya ya uandishi wa habari nchini Burundi ambayo imepitishwa na bunge la nchi hiyo, ungana na Ali Bilali kuangalia maswala mbalimbali juu ya ...

Ijumaa 19 aprili 2013
Residentes transportan a una víctima del atentado suicida en las calles de Mogadiscio, el 4 de octubre de 2011.

Serikali mpya ya Kenya na usalama

Serikali mpya ya Kenya chini ya uongozi wa rais Uhuru Kenyatta imepata pigo la kwanza baada ya watu wasiojulikana kuwapiga risasi watu 10 mjini Garrisa karibu na Somalia walipokuwa Mkahawani.

Thursday 18 aprili 2013

Utozwaji mkubwa wa kodi za nyumba nchini Kenya

Shirika la Kimataifa la Hass linaloshughulika na maisha ya kawaida ya watu linasema kuwa wapangaji wa nyumba nchini Kenya ndio wanaotozwa kodi kubwa ya nyumba.

MPANGO WA MAKALA
Close