Serikali ya Syria imetishia kujibu mara moja mashambulizi yote mapya ambayo yatafanywa na ndege za kijeshi za Israeli kauli inayokuja baada ya nchi hiyo kutekeleza mashambulizi mawili yaliyolenga ...
Serikali ya Awamu ya Nne nchini Kenya imeendelea kuandamwa na mzimu wa kesi ya inayowakabili Rais Uhuru Muigai Kenyatta na Naibu wake William Samoei Arap Ruto ambao sasa wanataka kesi dhidi yao ...
Bunge nchini Zimbabwe limeidhinisha muswada wa katiba ambao ni sehemu ya upatikana wa katiba mpya nchini humo iliyopigiwa kura ya ndiyo na asilimia tisini ya wananchi wa Taifa hilo mapema mwezi ...
Marekani imeendelea kushikilia msimamo wake wa kutaka Rais wa Syria Bashar Al Assad aachie wadhifa wake kama sehemu ya kufikiwa suluhu ya kisiasa ya kumalizwa kwa mgogoro uliodumu kwa zaidi ya ...
Watu wenye silaha nchini Pakistan wamemtekanyara mtoto wa Waziri Mkuu wa zamani wa taifa hilo Yousuf Raza Gilani, Ali Haider Gilani katika siku ya mwisho ya kampeni kabla ya wananchi wa Taifa hilo ...
Serikali ya Marekani imesisitiza itaendelea na juhudi zake za kuhakikisha umwagaji wa damu nchini Syria unakomeshwa huku pia ikifufua mazungumzo ya kusaka amani ya Mashariki ya Kati baina ya ...
Bunge nchini Zimbabwe linatarajiwa kuanza mchakato wa kupitisha mswada wa sheria mpya ulioidhinishwa kwa kura ya maoni iliyopigwa na wananchi wa Taifa hilo mwezi March mwaka huu.
Mpatanishi wa Mgogoro wa Syria anayetambuliwa na Umoja wa Mataifa UN na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu Lakhdar Brahimi amepokea kwa mikono mawili makubaliano yaliyofikiwa baina ya Marekani na Urusi ya ...
Mwanasiasa mahiri nchini Pakistani Imran Khan aliyeanguka jukwaani akiendelea na kampeni zake za kunadi sera anaendelea kupatiwa matibabu hospital kufuatia kupata majeraha kichwani na sasa hali ...
08/05/2013
-
MAREKANI-KOREA KUSINI-KOREA KASKAZINI
Viongozi wa Marekani na Korea Kusini wametangaza kutokuwa na huruma yoyote dhidi ya Serikali ya Korea Kaskazini iliyo mstari wa mbele kwa kutoa vitisho vya kuyashambulia mataifa hayo mawili ...