Pata taarifa kuu
DRC- HAKI ZA BINADAMU

Uganda: Rais Museveni awaonya wanaharakati wa wapenzi wa jinsia moja

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, hapo jana amewaonya watu, wanaharakati na makundi ya watu wanaotetea ushoga, akisema ni ujinga kuona baadhi ya watu wanasimamia tamaduni ambazo hazikuwa zao.

Yoweri Museveni, Rais wa Uganda.
Yoweri Museveni, Rais wa Uganda. REUTERS - ABUBAKER LUBOWA
Matangazo ya kibiashara

Nchi ya Uganda ni moja ya mataifa ambayo yanasheria inayokataza vitendo vya mapenzi ya jinsia moja.

“Msilete huo ujinga hapa, tulikuwa Marekani na safari hii waliaanda mkutano vizuri hawakuleta haya mambo.” amesema rais Museveni.

Baadhi ya mataifa ya Afrika Mashariki ikiwemo Kenya hayaruhusu mapenzi ya jinsia moja.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.