Pata taarifa kuu
UGANDA- SIASA-UONGOZI

Uganda: Museveni atimiza miaka 37 madarakani

Nchini Uganda, rais Yoweri Museveni ameadhimisha miaka 37 tangu alipoingia madarakani kwa kutumia vita vya msituni vilivyodumu miaka mitano na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 100,000.Mengi zaidi na Mwandishi wetu, Kenneth Lukwago akiwa jijini Kampala

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni Β© BADRU KATUMBA/AFP
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.