Pata taarifa kuu
UGANDA- BURUDANI

Eddy Kenzo kuwania tuzo za Grammy

Licha ya kuzaliwa katika familia dunia nchini Uganda, hakukata tamaa kutumia kipaji chake cha muziki na sasa Eddy Kenzo, atakuwa akiwania tuzo maarufu duniani za Grammy.

Mwanamuziki wa Uganda, Eddy Kenzo
Mwanamuziki wa Uganda, Eddy Kenzo AFP - BADRU KATUMBA
Matangazo ya kibiashara

Hapa anazungumzia namna alivyopokea kujumuishwa kwake.

“Najisikia vizuri kwa sababu najuwa kuchaguliwa kuwania tuzo ni baraka.”amesema Eddy Kenzo.

Wakati akianza taaluma yake ya muziki, msani huyo amesema kuwa alikuwa akiwarai maDJ wa muziki kucheza nyimbo zake, uteuzi wa kuwania tuzo mashuhuri duniani za Grammy hapo kesho Jumatatu akisema ni ishara kuwa hata mtu masikini zaidi anaweza kuwa bora.

 

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.