Pata taarifa kuu
CAMEROON- SIASA

Rais wa Cameroon Paul Biya atimiza miaka 90

NAIROBI – Rais wa Cameroon, Paul Biya, hivi leo Jumatatu ametimiza umri wa miaka 90, huku akiwa amekaa madarakani kwa miaka 41, ambapo licha ya umri mkubwa haoneshi nia ya kuondoka madarakani hivi karibuni.

 Paul Biya,Rais wa Cameroon.
Paul Biya,Rais wa Cameroon. © Ludovic Marin / AFP
Matangazo ya kibiashara

Licha ya kuwa ameandaa sherehe kubwa mjini Younde, wengi wanaona hawana cha kusherehekea.

Hamduni Marcel, ni mchambuzi wa siasa za kimataifa akiwa Mwanza, Tanzania.

“Nchi ya Cameroon ni nchi ambayo imekuwa na mafanikio na matatizo kwa wakati moja na Paul Biya ameshindwa kutatua mgogoro mkubwa ambao umekuwepo na hiyo ndiyo hofu kubwa.”ameeleza Hamduni Marcel

Biya sasa anakuwa kiongozi pekee duniani aliyeko madarakani mwenye umri mkubwa zaidi.

 

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.