Pata taarifa kuu
UGANDA- HAKI ZA BINADAMU

Uganda yakashifiwa kwa kufunga ofisi ya UN kuhusu haki za binadamu

NAIROBI – Wanasiasa wa upinzani na mashirika ya kutetea haki za binadamu nchini Uganda, wamekashifu hatua ya Serikali kufunga ofisi ya tume za haki za binadamu ya umoja wa Mataifa nchini humo, wakisema inalenga kuficha maovu ya utawala.Kutoka Kampala, mwandishi wetu Kenneth Lukwago, ametutumia ripoti ifuatayo….

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni © StateHouseUganda
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.