Pata taarifa kuu
UTURUKI

Uchaguzi Uturuki kipimo cha mustakabali wa waziri mkuu Recep

Wapiga kura nchini Uturuki wanaanza zoezi la uchaguzi baadaye hii leo katika uchaguzi mdogo ambao wachambuzi wanasema utatoa picha ya mustakabali wa kisiasa wa Waziri Mkuu Recep Tayyip Erdogan.

Uchaguzi mdogo wa Uturuki hii leo kuamua mustakabali wa Waziri mkuu wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan
Uchaguzi mdogo wa Uturuki hii leo kuamua mustakabali wa Waziri mkuu wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan REUTERS/Umit Bektas
Matangazo ya kibiashara

Huu ni uchaguzi wa kwanza tangu maandamano yalipoanza mwishoni mwa mwezi Juni na kashfa ya rushwa kuigonga serikali.

Waziri mkuu Erdogan hagombei isipokuwa ametumia nguvu yake kupigia debe chama chake cha Justice and Development.

Serikali ya uturuki ilipiga marufuku matumizi ya Twita na you tube katika kipindi hiki cha uchaguzi baada ya kuvuja kwa baadhi ya taarifa zikimuhusisha waziri huyo na matumizi mabaya ya fedha.
 

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.