Uelewa wa wakazi wa Jiji la Mwanza juu ya matumizi ya sarafu moja
Imechapishwa:
Cheza - 09:42
Mwandishi wa Martin Nyoni amezungumza na wakazi wa Mwanza nchini Tanzania kuhusu uelewa wa matumizi ya sarafu
Mpango huu wa viongozi wa jumuia hii yenye wanachana saba kwa sasa ulifasiliwa na baadhi ya wachumi kuwa ni sawa na kusukuma tofali kwenye kina kirefu cha bahari bila kuwa na matarajio ya kulifikia tena tofali hilo
Umoja wa Fedha wa Afrika Mashariki (EAMU) ni hatua muhimu katika mchakato wa Mtangamano wa Kikanda wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Itifaki ya EAMU ilipitishwa kwa mujibu wa Mkataba wa EAC na kutiwa saini tarehe 30 Novemba 2013 lakini wananchi wa jumuiya hii wao wanasema kuwa
Karibu katika Makala ya Afrika mashariki hii leo tunatuwa nchini Tanzania tukiangaza uelewa wa wakazi wa taifa hii la ukanda wa Afrika mashariki juu ya mchakato wakuwa na matumizi ya sarafu moja sanjali na maoni ya wanazuoni wakati ikiwa ni muongo moja sasa tangu kusainia kwa makubalino yakuwa na sarafu moja.