Changu Chako, Chako Changu
Tamasha la Muziki wa Habib Koite na sherehe za miaka 12 ya rfi kiswahili
Imechapishwa:
Cheza - 19:58
Karibu katika Makala changu chako chako changu ambapo leo nakuletea Makala maalum kuhusu tamasha la mwanamuziki Habi Keita lililofanyika ukumbi wa Alliance Francaise ya Nairobi. Wakati RFI Kiswahili ikifanya sherehe ya miaka 12 tangu kuanza kupeperusha matangazo yake Afrika mashariki Julay 5 mwaka 2010 jijini Dar Es Salaam Tanzania.