Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Historia ya ufalme wa Buganda nchini Uganda

Imechapishwa:

Karibu mpenzi msikilizaji katika Makala haya ya Changu chako Chyako Changu ambapo leo tunazungumzia kuhusu Ufalme wa Buganda huko Uganda, na kwenye le parler francophone tunazungumzia kuhusu Tamasha la muziki wa wakongwe wa Bongo Fleva na kwenye Muziki nakuletea mwanamuziki kutoka nchini Uganda, Jose Chameleon, mimi naitwA Ali Bilali Bienvenue et bon reveille matinale. 

Ronald Muwenda Mutebi, Mfalme wa Baganda (kushoto) na Rais wa Uganda Yoweri Museveni.
Ronald Muwenda Mutebi, Mfalme wa Baganda (kushoto) na Rais wa Uganda Yoweri Museveni. (Photo montage : Reuters/AFP)
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.