Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Kijiji cha Mitahato nchini Kenya na jitihada za kujifunza lugha ya Kifaransa

Imechapishwa:

Ni Jumapili nyingine tunakutana tena katika Makala haya ya Changu chako chako Changu ambapo leo tunaangazia juhudi za wakaazi wa Mitahato Kaunti ya Kiambu katika Kujifunza lugha ya Kifaransa. Na kwenye le le parler Francophone tutaangazia kinachoendelea Alliance francaise ya Nairobi, Mombasa, Dar es Salaam na kwenye Muziki tutamzungumzia mwanamuzi Sheebah Karungi kutoka nchini Uganda. Mimi naitwa Ali Bilali Binvenue, ama Karibu lakini pia Bona Reveil Matinale,

Kituo cha Mitahato kilipo pokea wageni
Kituo cha Mitahato kilipo pokea wageni © George Ajowi
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.