Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Maadhimisho ya siku ya kiswahili duniani na miaka 13 ya rfi kiswahili sehemu 1 Julay 9 2023

Imechapishwa:

Karibu katika Makala changu Chako Chako Changu ambayo leo ni maalum kabisa kuhusu siku ya kimataifa ya lugha ya Kiswahili ambayo huadhimishwa kila ifikapo Julay 7 ambapo huu ni mwaka wa pili tangu kuanza kuadhimishwa kwa siku hii baada ya shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu Sayansi Elimu na Utamaduni kuidhinisha siku hii ili kulinda tamaduni za waswahili siziji kupotea. Mimi naitwa Ali Bilali ambatana name mwanzo hadi Tamati.

Bendi ya Less Wanyika katika maadhimisho ya miaka 13 ya RFI Kiswahili
Bendi ya Less Wanyika katika maadhimisho ya miaka 13 ya RFI Kiswahili © rfikiswahili
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.