Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Maadhimisho ya siku ya kiswahili duniani na sherehe za miaka 13 ya rfi kiswahili sehemu ya tatu

Imechapishwa:

Karibu kuwa nami jumapili hii katika Makala haya ya Changu chako Chako Changu ambapo Jumapili hii nakuletea sehemy atatu na ya mwisho ya makala kuhusu siku ya Kiswahili Duniani Julay 7 iliokwenda sanjari na maadhimisho ya miaka 13 ya rfi kiswahili ambapo Kundi la Less Wanyika liliburudisha. Mimi naitwa Ali Bilali Karibu ama bienvenue.

Bendi ya Less Wanyika likitoa burudani kwa wageni waalikwa
Bendi ya Less Wanyika likitoa burudani kwa wageni waalikwa © @Ali Bilali
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.