Changu Chako, Chako Changu
Historia ya siku ya kuwakumbuka mashujaa nchini DRC na Mwanamuziki TayC
Imechapishwa:
Cheza - 19:59
Katika Makala haya Ali Bilali anazungumzia kuhusu siku ya kuwambuka watu waliotoa mchango wao katika harakati za ukombozi ambapo kila januari 4 ni siku ya kuwakumbuka wapambanaji hao waliochangia katika ukombozi wa nchi
Matangazo ya kibiashara
Usikosi pia kumfollow mwanahabari wako Ali Bilali kwa Instagram @billy_bilali